Recent content by VOICE OF MTWARA

  1. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Alphard vs Vellfire

    Bei ya nini? Sijakuelewa
  2. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Alphard vs Vellfire

    I’m a family man. Kwa sasa tuko sita plus relative. Gari ya watu watano hainifai Tena. Nilikuwa natamani Nissan Caravan Nv 350 au Hiace super GL lakini Bei ni kubwa sana kwangu
  3. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Alphard vs Vellfire

    Natamani hizo gari Kwa sababu ya ukubwa wake kwa matumizi ya familia. Sina chochote ninachofahahamu kuzihusu. Sijui ni toleo gani zuri na lipi baya. Hiyo Ndiyo sababu ya kuomba ushauri wenu
  4. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Alphard vs Vellfire

    Vp za chini ya 2008 Zina changamoto gani? Asante
  5. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Alphard vs Vellfire

    Asante Mkuu. Vipi kuhusu uimara?
  6. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Alphard vs Vellfire

    Yoyote, chini ya mwaka 2008
  7. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Alphard vs Vellfire

    Wakuu. Naomba uzoefu wenu kuhusu uimara na udhaifu wa magari hayo Katika Namna ya ulinganishi. Natanguliza shukrani za dhati
  8. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005

    Kalikuwa na cc 650 na turbo. Baadae turbo ilianza kusumbua ikawa mwendesha baskeli anaweza kuniovertake mlimani. Pia miguu ya Mbele ilikuwa inapiga Kelele ukikona kulia au kushoto
  9. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Wakuu niambie sifa za gari Suzuki swift old model 2005

    Niliwahi kuwa na Suzuki Kei, ilinisumbua sana. Sijui kuhusu Swift ingawa maumbo yao yanafanana
  10. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Sealing la ufahamu: unaweza kuongeza siti/viti kwenye van bila kuongezewa gharama za ushuru?

    Nataka itumike kwa matumizi ya familia. Bado Vibali vya latra vitahitajika?
  11. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Sealing la ufahamu: unaweza kuongeza siti/viti kwenye van bila kuongezewa gharama za ushuru?

    Kama mjuavyo magari Kama Nissan Caravan van au Hiace super GL hayawi na siti na ushuru wake uko chini ukilinganisha na magari Kama hayo hayo lakini ni Wagon. Swali langu ni je inawezekana kuongeza siti kwenye van bila kuongezewa ushuru wakati wa kubadilisha kadi ya gari? Nb. Title isomeke swali...
  12. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Full Time | Jamus SC 0 - 0 Simba SC | CECAFA Kagame Cup | Kigali Pele Stadium

    Mshambuliaji wa Kati yupo, why Loemba acheze 9? huyu kocha amechoka maisha ya Tz, anafanya kusudi ili afukuzwe
  13. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za Umeme Newala

    sio Newala pekeyake, mikoa ya Lindi na Mtwara umeme unasumbua sana kwa takribani miaka kumi sasa. ni nadra siku ikaisha bila umeme kukatika. Gesi inayozalisha umeme inatoka Lindi na Mtwara lakini umeme wa shida. Viongozi wapo tu na hakuna anayejali. Mwaka 2012 vurugu kubwa ya "gesi ya Mtwara"...
  14. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya research kinyume cha utaratibu

    kwa jinsi wanafunzi wa undergraduate walivyo wengi inawezekanaje kufanya research? supervisors wanapatikana wapi?
  15. VOICE OF MTWARA

    JamiiForums Tanzania Alex Mkama apandishwa Cheo kuwa Kamishna wa Polisi, ateuliwa kuongoza Polisi Jamii

    hata huyu Mkunda ametoka kuwa Meja Jenerali kwenda kuwa Jenerali wakati kuna several Lieutenant Generals
Back
Top Bottom