TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

Ngoja tuwaone wale wanafk
Mtu akfaa utasikiaa kaacha pengo
Kubwaaa,tutamkumbka milele

Ova
 
Daah, kumbe basi sikulijua hili mkuu, kuna dereva bonge nae walikuwa wanamwita kitonsa miaka ya 90.

Kweli hizi nyimbo za zamani zinagusa hisia sana, nimezijaza sana kwenye memory ya simu yangu,

Nakumbuka mzee wangu (rip kwake) alikuwa na radio cassette yake aina ya Phillips 540 enzi hizo, alinunua miaka ya 60's alikuwa anapiga sana kanda za miziki ya zamani, nyingi alizinunua moja ya duka maarufu sana la kanda za muziki pale kurasini likiitwa "Bukavu!"
Radio cassette gani hiyo ya miaka ya 60? Hizo fix kijana.
 
1. banza Stone
2. Muumini Mwinjuma
3. Ally Choki
4. Omari Mkali
5. Badi Bakule
6. Mao Santiago
7. Ndanda Cossovo
8. Maluu Stonchi
9. Pacheko Mbongo
10. Nyoshi Alsadati
11. Papi Kocha
12. waziri Sonyo
13. Jado FFU
14. Toto Tundu
15. Roshi Mselela
16. Rogat Hegga
17. Abdul Misambano
18. Msafiri Diofu
19. Luiza Nyoni
20 Jesica Chale
21. Amina Ngaluma
22. Hadija Mnoga
23. Adolf Mbinga
mziki wa dansi 2000 - 2010 ulikuwa wa moto mno. R.I.P kwa waliotangulia mbele ya haki
 
Back
Top Bottom