Recent content by Vogel

  1. Vogel

    JamiiForums Tanzania Wakazi/wenyeji wa Iringa naombeni muongozo wenu

    Mbesa mmusi umeshai. Labda goti.
  2. Vogel

    JamiiForums Tanzania Wakazi/wenyeji wa Iringa naombeni muongozo wenu

    Zau unzila utakulipa sana!
  3. Vogel

    JamiiForums Tanzania Mke wangu na baba yake wanatumiana picha za uchi!

    Ungetupiamo na tupicha twenyewe ili ushauriwe vizuri.
  4. Vogel

    JamiiForums Tanzania Hizi mboga zinaitwaje kwa Kiswahili na zinapatikana wapi?

    Kuna mitaro ya aina nyingi. Eleza ni aina ipi ya mtaro unamaanisha! Mitaro ya maji.
  5. Vogel

    JamiiForums Tanzania Hizi mboga zinaitwaje kwa Kiswahili na zinapatikana wapi?

    Sisi kwetu hiyo watercress tunaiita NYALULENGA. Inastawi sana kwenye mitaro.
  6. Vogel

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanalazimisha kuolewa, hii style ni hatari

    Nadhani stori uliyokusudia ni demu wa Cape Verde. Huyu uliyezaa umemchomekea ili kuvuta attention za watu tu. Kwa hiyo mtoto wenu atakuwa mkubwa sasa na mmezaa mwingine? au mkeo bado ana ujauzito wa mtoto wa pili?
  7. Vogel

    JamiiForums Tanzania Kwanini wengi wanaofariki ghafla kwenye guest house wengi ni wanaume?

    Kumbuka pia wanawake wanaolewa na wanaume wakubwa kwao. Mfano, mwanaume wa miaka 45 anaoa mwanamke wa miaka 19. Obviously, Kama mambo mengine yote yatakuwa sawa, bac mwanaume atatangulia kupendwa zaidi na Mungu.
  8. Vogel

    JamiiForums Tanzania Screen ya X-BO

    Jaribu ebay
  9. Vogel

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

    Kumbe una uzoefu nao?
  10. Vogel

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

    Kama unapima na uko safi, basi hata mwenzi wako yuko safi.
  11. Vogel

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

    Ukiona anakuvutia kimapenzi.
  12. Vogel

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    AU AKAJIFUNZE KABADI.
  13. Vogel

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Ku'sup' nusu ya koz ni direct disco. Hakuna namna. Labda u'appeal'. Unapata mkopo?
Back
Top Bottom