Naombeni Ushauri: Dalili za mtu ambaye ni HIV carrier

Mkuu linapokuja swala la ugonjwa wowote badala ya kupiga ramli na kucheza bahati nasibu nyoosha hospitali kupata vipimo. Macho siyo kipimo sahihi cha ugonjwa wowote ule.

PS. Ikiwa hautojali nitakusindikiza kupima.
Mm napima kila baada ya miez 3 mkuu ila huyo mwenzangu ndo hapendi kupima ndo maana nauliza
 
Namaanisha mtu ambae hamjaenda kupima kama ni boyfriend/girlfriend utamjuaje
Yaani inasikitisha mpaka leo hujajua kwamba mwenye ukimwi unaweza kumjua kwa njia gani?

Ila nikwambie Vipimo peke yake ndio jibu hapo ukitaka kwa kuwajua nje ya hapo ni ngumu aisee.
 
Back
Top Bottom