Recent content by Vnice

  1. V

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Kweli bongo hata akitawala maraika bado watu watakosoa tu! Magu anajua mambo mengi yaliyokuwa ovyo ndio maana inatoa anaongea vitu vya ukweli na katika ukweli huo kuna watu unawagusa. Acheni blaablaa magu hana mchezo kama amekugusa tulia uje utumbuliwe.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    Hapo safi ktk mawaziri wanaojua kazi huyu mama habahatishi. Elimu yetu ilitaka kupoteza maana...naunga mkono kwa hatua hiyo nzur
  3. V

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hakuna Fidia Wala Viwanja kwa Wakazi wa Mabondeni

    Hapa kazi tu!!! Walifanya kamradi kakupigia pesa mvua zikianza sasa acha waisome namba. Napongeza sana kauli ya mkuu wa mkoa ni kweri hao watu wanaijaribu serikali.
  4. V

    JamiiForums Tanzania Bomoabomoa yaanza Kinondoni pamoja na kesi kuwa Mahakamani

    Watu siku zote tunapenda lawama hata penye ukweri,,, hao watu waliokuwa wanastahili kulipwa fidia walipewa siku nyingi sana na wakapewa mpaka maeneo mabwepande,chanika nakwingineko lakini walipuuza kuhama,,, walifikria serikali ni ileile waliyoizoea kuwa wanaambiwa waondoke wanagoma ili mvua...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa Mh. JPM na mawaziri wake.

    Issue ya ada elekezi hapo tunaomba walitolee maelekezo maana wazazi wengi wanasubiri kauli ya serikali ndo walipe ada zinaumiza sana.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Naanza kuchukia baadhi ya sera za Magufuli. Hivi tunajenga au tunabomoa?

    Mtoa maada hao watu hata kama ni mimi mlengwa ambae natakiwa nyumba yangu ishushwe sawa tu!! Hao watu walishalipwa zama na walipewa maeneo mabwepande hawajaenda kujenga pesa wakazipiga wenye akiri walijenga.. Watu kama hao ndo walalamishi kila siku na wanarudisha nyuma maendeleo.. Kwa hilo kama...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba atimua kigogo kwa kuiba ushuru wa Mifugo Mnada wa Pugu

    Safi sana waziri wetu mwema piga kazi kuna watu walijua kazi zao ni nzuri maana zinafanyika usiku muda ambao ni ngumu kufika mkaguzi.. Hiyo suprize imewaamsha ambao bado rungu linawatafta. Watz badrikeni acheni kuishi kwa mazoea Nyumba sasa imepata baba Mkali ambae hamnyimi mtoto mapigo. Igeni...
  8. V

    JamiiForums Tanzania SALAM MAALUM KWA DR MAGUFULI

    Naungana nawe kuomba kwa ajili ya Raisi wetu apendae nchi yake na watu wote waishio ktk hii nchi Mungu amhifadhi na ampewe maarifa mema yatakayoleta maendeleo ktk hii nchi. Eee Mwenyezi Mungu Tubariki. Amen!
  9. V

    JamiiForums Tanzania Mbona Magufuli anaanza kama Kikwete Tena? Hii nayo Nguvu ya Soda...?

    Mtoa maada naona majipu yaliyotumbuliwa damu ilikurukia nawe ikachafua Nguo!, ukweri ni kwamba nchi kuiongoza sio kazi ndogo inatakiwa kujitoa sana.. Raisi wetu yupo makini sana kazi yake Kwa sasa ni action tu! Kuweni watulivu kidogo mambo yatakuwa yanakamilika moja baada ya jingine. wewe fanya...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kero Kubwa za Watanzania - Changia

    1-Elemu ya ufundi iboreshwe zaidi ili vijana wakimaliza wasiangalie kuajiliwa bali wajiajili. 2-ili wajiajili vijana wahitim wa vyuo serikali iangalie namna ya kuwawezesha kwa maji. 3-tuige kwa nchi zilizoendelea kama China huwa wanapeleka vijana wao kujifunza vitu ufundi kwa ajili ya taifa..na...
  11. V

    JamiiForums Tanzania Mbona Magufuli anaanza kama Kikwete Tena? Hii nayo Nguvu ya Soda...?

    Kwa hilo mtoa maada naona rudi ukatafakari vizuri urudi tena uandike vitu vinavyoeleweka.. Mh. Raisi na safu yake ya utendaji ipo makini sana najua kwa watu wasio makini kama wewe huwezi kuona mabadriko ambayo kayafanya ndani ya muda mfupi ikiwemo mapato kuongezeka. Piamatatizo ni mengi...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam italia kilio kizito sio muda mrefu...

    Kwa jinsi nchi yetu ilipofikia lazima maamzi magumu na ya busara kama hayo yafanyike tena Kwa nguvu zote,, watz tukubari kuumia Kwa muda mfupi ili badae miji yetu iwe rahis kufikika. Naunga mkono juhudi za serikali yetu ambayo ina mikakati mizuri.
Back
Top Bottom