Kwa jinsi nchi yetu ilipofikia lazima maamzi magumu na ya busara kama hayo yafanyike tena Kwa nguvu zote,, watz tukubari kuumia Kwa muda mfupi ili badae miji yetu iwe rahis kufikika. Naunga mkono juhudi za serikali yetu ambayo ina mikakati mizuri.Nadhan wakamue tu tutalia tukinyamaza tayari dar inakuwa mji bora.
Siku zote mambo mazuri huja kwa maamuzi magumu. Hata China isingekuwa ilipo bila uamuzi mgumu wa Chairman Mao tse Tung
Najiuliza saizi ikisemwa kila Mtanzania mwisho watoto wawili, mtaandamana mpk mbinguni, lkn ukweli unabaki katika kufikia malengo lazima tufunge mkanda kwelikweli.
Naunga mkono hata kuangusha dar yote tuanze upya si ujinga (in mjomba's voice)