Majitu yalizoea kuwa mavivu, likiingia kazini eti linatoka tena kwenda kunywa chai....linarudi kwenye dawati saa nne na nusu. Likitoka lunch saa 7 linarudi kazini saa Tisa na nusu huku likiwa na pombe kichwani. Saa kumi na nusu hilooo linaondoka. Leo hii huo upuuzi hamna ndio maana yamejawa na jazba haya mabwanyenye ya Ofisi za Umma.Asilimia kubwa ya nyinyi watanzania mliopo ktk maofisi ya umma ni mafisadi au watoto wa mafisadi au vimada wa mafisadi.
Hotuba nzuri km hizo lazima ziwaogopeshe
Huo ni mtazamo wako, uzuri wa Magufuli maneno ya pembeni hayampi shida. Ukweli ni kwamba hata ufanye jambo gani still watu wataongeaaaa tu. So I think tumuache Magufuli na system yake aendeshe nchi, ikifika mwisho na akashindwa ndio tuongee but for now ni mapema sana ku-judge.Speech za Rais Magufuli zinashida kidogo, Rais akizungumza anazungumza kama mtu aliyejaa visasi na sifa nyingi, hana utaratibu mzuri katika kupangilia kile anachokisema.
Kama rais anapaswa kuzungumza kwa utaratibu na mpangilio hata kama ni sehemu anasisitiza jambo, vijembe kwa walio chini yake ni kutafuta tu kick kwa wananchi ambao mwenyewe keshatujua na amejawa na sifa tunazompa kila siku. Rais ni reflection ya watu alionao.
Speech za Rais Magufuli zinashida kidogo, Rais akizungumza anazungumza kama mtu aliyejaa visasi na sifa nyingi, hana utaratibu mzuri katika kupangilia kile anachokisema.
Kama rais anapaswa kuzungumza kwa utaratibu na mpangilio hata kama ni sehemu anasisitiza jambo, vijembe kwa walio chini yake ni kutafuta tu kick kwa wananchi ambao mwenyewe keshatujua na amejawa na sifa tunazompa kila siku. Rais ni reflection ya watu alionao.
Nadhani kwa sasa tulihitaji raisi kama yeye, hakuna kuangaliana usoni. Ukizingua unazinguliwa. Tutanyooka tu mbona hata hatutaki. Ni mperampera na mchakamchaka. Hayo mambo ya kufata taratibu ndio yaliyotufikisha hapa. Tujifunze kwa nchi zilizoendelea walipotokea huko nyuma.Kwenye suala la diplomasia na busara tukubaliane Raisi wetu siyo mtaji wake..Hata kama ulikuwepo uwanja wa Taifa na kusikiliza hotuba yke ya kwanza kama Raisi yaani alikuwa anachanganya tu mambo.Ila ndo Magu huyo,tutamisi sana hotuba za Msoga.
Mkuu,Mimi naamini kuna siku huyu rais hawa mafisadi watamuhujumu.
Wahujumu uchumi waliozoea kupata pesa za kirahisi hawapendi hizi hotuba na watafuta mbinu hawa ya kumpoteza, tumuombee sana rais wetu wanyonge tuzidishe ibada. Rais anaumizwa na hali ya nchi ilivokua inakwenda na naamini tangu ni waziri lakn alizidiwa.
Amewashutumu majaji kwa kuwaachia wale wanaohujumu kwa makusudi.
Wawe na hofu hata kama ni furaha kijubwa kazi ifanywe na nchi iende mbele. Mambo ya kuangalia usoni ndio yanayoturudisha nyuma na tuliona madhara yake huko nyuma. Kwa sasa ukizingua tu, na wewe unazinguliwa hakuna kuangalia usoni. Mbona watanyookahotuba zinakuwa na ubabe mwingi ili litapelekea kuzidisha hofu kwa walio chini yake
Kwenye suala la diplomasia na busara tukubaliane Raisi wetu siyo mtaji wake..Hata kama ulikuwepo uwanja wa Taifa na kusikiliza hotuba yke ya kwanza kama Raisi yaani alikuwa anachanganya tu mambo.Ila ndo Magu huyo,tutamisi sana hotuba za Msoga.
hiyo mipangilio ndio imetufikisha hapa, nyingi zenye mipangilio huwa hazijajaa uhalisia.
anachotaka watu wake wajue ni kuwa chini ya magufuli wanaoption mbili. kuwa msafi au kuondoka.
Nakumbuka hotuba za ben za mwisho wa mwezi hata ukiulizwa alikuwa anaongelea nini watu wengi walisha sahau wanakumbuka misamiati maalufu kama MICHAKATO na TIJA
subiri speech za Rais wa UKAWA 2055Speech za Rais Magufuli zinashida kidogo, Rais akizungumza anazungumza kama mtu aliyejaa visasi na sifa nyingi, hana utaratibu mzuri katika kupangilia kile anachokisema.
Kama rais anapaswa kuzungumza kwa utaratibu na mpangilio hata kama ni sehemu anasisitiza jambo, vijembe kwa walio chini yake ni kutafuta tu kick kwa wananchi ambao mwenyewe keshatujua na amejawa na sifa tunazompa kila siku. Rais ni reflection ya watu alionao.
yes...anayetaka speech aende maktaba ziko akasome au u tube kasikilize...ila mkuu ndo kaamua ajiyotofautishe na wengine kwa kugonga nyundo kwenye msumari.Baadhi yenu nyinyi mliopo ktk maofisi ya umma ni mafisadi au watoto wa mafisadi au vimada wa mafisadi.
Hotuba nzuri km hizo lazima ziwaogopeshe