Recent content by Vladimir Lenin

  1. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kimoi, nkiri, mpk sasa ndo my best sites for movies and series zenye high quality for less mbs.
  2. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia amenilipa stahiki zangu nilizonyimwa na Magufuli

    Amina mkuu, naungana na wewe kwa moyo mmoja kupongeza Rais wetu na kumuombea Mungu azidi kumbariki.
  3. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Ulikuwa ni mfano tu kwamba kuna baadhi ya secta ukiwekeza kuja kupata hela yako ni mpk hisa zako ziuzwe, bt sio utt. Mfano wake ndo ukawa voda, bt sikusema kuwa nilikuwa nategemea kuuza hizo hisa ndo niingie utt, umeelewa sasa.
  4. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Ndio safi mkuu, au sio.
  5. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Mkuu rudia kusoma niliyoandika pengine unaweza ukaelewa kinachozungumzwa.
  6. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Kutoa hela UTT changamoto CRDB

    .
  7. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu Telegram bots

    Naona imekubali bt kwenye mb ili upakue movie ndo kipengele
  8. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu Telegram bots

    Kwenye books naona imekubali fasta tu, bt kwenye movies au series naona nikisachi inaweka tiki tu bt haileti, je nakosea?
  9. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kushangaza kuhusu Telegram bots

    Mkuu shukran sana, ninayo telegram mda sana kwenye simu yangu na naitumiaga sometimes, bt nilikuwa sijui kama ina mambo haya mazuri hvi.
  10. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Watu gani watatu mashuhuri unaweza ukatundika picha zao ukutani kwako?

    Nyerere, Lissu, mandela.
  11. Vladimir Lenin

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mkeo unamuachia Tsh. ngapi unapotaka kwenda kazini?

    Pengine wameshafariki mkuu huwezi jua.
  12. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Unatumia fedha kiasi gani ndani ya wiki kwa ajili ya vocha?

    Mm kwa mwezi haizidi buku sita, simple tu.
  13. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Unatumia fedha kiasi gani ndani ya wiki kwa ajili ya vocha?

    Ha ha, numeipenda hyo.
  14. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri na kujuzwa bei za mabati ya Alaf

    Nyumba ya ukubwa gani mkuu utuhamasishe kdg
  15. Vladimir Lenin

    JamiiForums Tanzania Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Hawa ndio wale ambao jirani yake anaepambana akitoboa maisha basi huamini kuwa ni utajiri wa nguvu za giza, hawaamini ktk kujituma coz ameshindwa hata kuingia kwenye mitandao na platform nyinginezo kufuatilia hki kitu ambacho anakiita scam.
Back
Top Bottom