Recent content by VKEY

  1. V

    Nauliza tu jamani!!

    haaaaaaaaa haaaa wake up galllllll. huyo akibanwa ndo anakuja nawe unampaaaaaaa. cku izi mapenzi ya kudum hamna. CHAPA ILALEEEEEE MPANGO MZIMA. SO KAMA VP JIONGEZE
  2. V

    Bongo movies subtitle

    hapo sasaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  3. V

    Umeme wa nguvu ya upepo tanzania 2014

    Hivi hii kitu ni practical kweli au ndo siasa zetu za bongo kutiana changa la macho!!!!!!!!!
  4. V

    Bongo movies subtitle

    hapo ndo nashindwa kuwaelewa!!!!!!!!!!!!! Wanafanyia mazoea na hawatumii muda kujiridhisha na viwango wanavyotengeneza!! Na pia suala la fake scenarios.....yaan dahhh
  5. V

    Bongo movies subtitle

    ni aibu harafu ni hasara kwao maana wanakosa soko la nje kwa ubahili wao. na inakuwaje wanatoa filamu hata bila kuedit hizo lugha!!!!!!!!!! wanaangalia mavazi tuu.
  6. V

    Bongo movies subtitle

    Jamani wana jf tusaidiane katika hili pia, subtitle kwenye filamu zetu za kinyumbani mi naona bado ni mzozo! Ina maana hao maprodyuza na madairekta hawana uwezo wa kutafuta watu ambao ni compitent ktk lugha hizi mbili yaan eng and swahili au ndo bajeti finyu?!!!! Kwa mpango huu kuvuka boda...
  7. V

    Serikali Ikiamua Kuilipa Dowans Sitta na Mwakyembe Lindeni Heshima Zenu kwa Kujiuzuru

    Hao pia ni mafisadi tuu kama wenzao sema tuu wamepata nafasi kuwanyooshea vidole wenzao. Waroho wa madaraka hawawezi kujiuzuru hata uwafunge kamba. Mafisadi tuuuuuu
  8. V

    Changia wahanga wa maafa ya arusha

    Serikali itatuzoea, jambo la msingi ni kujenga hoja za kuibana serikali iwahudumie watu hawa mambo ya kuchangishana kila cku wataona ndo mpango mzima kuwapiga piga raia wasio na hatia then hao hao raia wanyonge tuchangishane kutibu majeraha. Ni upuuzi na inauma sana.
  9. V

    Dk. Slaa afanyiwa njama kufungwa

    powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
  10. V

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    ccccccccc iz no longer. wanajiua kila kukicha badala ya kujiimarisha. mayb MAGUFURI kdg
  11. V

    Matukio yaliyotikisa Tanzania tokea tupate uhuru

    bibi kizee kumpigia kura nyerere 2010!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom