Recent content by viva666

 1. V

  Umuhimu wa Jeshi la Polisi Tanzania

  Duh ,umenikumbusha sku moja wale tigo au tunawaita kulwa na doto wakasimama njiani ili kunisisimisha nikiwa na pkpk ,basi mtu mzima nilipowakaribia nikajikuta nacheka tu huku nkisema "afandeeeeee" afu nikaipa moto jamaa akapisha mimi huyo kibati.
 2. V

  Jamani askari tuliostaafu tunaomba Rais Magufuli utukumbuke pensheni bado, hali ni ngumu mtaani huku

  Sitaki idhulumu nafsi angu kukuonea huruma,ikibid ufe. Wasalaaam Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 3. V

  Waziri Jafo: Dirisha la ajira za walimu 13,000 wa msingi na sekondari kufunguliwa Jumatatu!

  Hamnazo nyinyi,mnajua walimu tu ndo walohitimu mavyuoni eti
 4. V

  Rais Magufuli, namuombea msamaha Paul Makonda. Msamehe

  Si ujiajiri sasa,km mnavopigaga mayowe mkiwa jukwaani
 5. V

  Uchaguzi 2020 Tunduma yazuka vurugu na mabomu ya machozi yapigwa na polisi

  Ewe Mjomba Ak47 tuokoe wanao tuko jangwani miongo yapata sasa,usitupite unapodhuru wengine#AMEN
 6. V

  Hai: Waliorusha mawe kwenye mkutano wa Lissu mkoani Kilimanjaro wakamatwa

  Polisi ni majambazi yenye kibali cha kikazi - in Langa Kileo voice
 7. V

  Anayepata matangazo ya BBC, DW au VOA atupe mrejesho

  RFA nasikia wimbo wa banana zolo Nzela ,tutaelewana tu punde
 8. V

  Mchomvu 'mabangi' anapoonesha mabange yake

  Flora amefurahi itakua eti?
 9. V

  Haya maisha haya! Acheni tu

  Kiukweli wewe ni mtu usie na choyo na mafanikio ya watu
 10. V

  Mkopo wa Bajaji

  Nunua used alafu ipe 1M gereji ,utainjoi mbona
 11. V

  Pumzika kwa Amani shujaa wetu Mhandisi Fabiola Mushi

  Picha ya kiberenge basi nijionee kilivo Sent using Jamii Forums mobile app
Top Bottom