Naiona Safari yangu ya Kuwa Tajiri!

Naiona Safari yangu ya Kuwa Tajiri!

Mungu ni mwema siku zote!
Nilianza chuo hapa dar es salaam(chuo Fulani)

Tangu naanza chuo mpaka nimepostpone mwaka wa Pili sikuwai kutumia pesa ya Boom!

Nilikuwa najihusisha na uvuvi, kuuza mtumba kuuza samaki nk.
Ndoto Zangu Ni kufanikiwa kupitia vyombo ya usafiri!

Sasa baada ya kupata hiyo fedha! Nimeenda bank kuchukua mkopo wa Bajaj! Nina uhakika baada ya mwaka mmoja nitamaliza mkataba.

Na Nina uhakika nitakopa kadri ya uwezo wangu!

Nimefanikiwa kununua heka Tano za shamba huko mkoani Tabora!

Malengo yangu mwaka huu nilime heka Tano za mpunga!

Pesa nitakayo ipata kwenye kilimo! Kinachofuata Ni kufungua duka la huduma za kifedha. Airtel money! Bank nk.

Baada ya hapo! Nimepata connection ya fundi wa vitanda vya mninga! Huko Tabora huko anauza laki mbili na nusu!

Vile vitanda huku dar naweza kuuza hata laki Saba.

Shemeji yenu Ni supportive Sana na ananipenda!

Pia hapo badae nitakuwa natoa samaki kambale naleta dar.

Yani Mambo Ni mengi Sana muda mchache.
Naiona Safari yangu ya Kuwa Tajiri

Chuo ntarudi mwakani
Ushauri wowote.
Acha kuropoka mipango yako
 
Waswahili wanasema mipango so matumizi... Lakini pia wanasema mipango ya maisha ni siri hadi itakapofanikiwa... Zaidi wanasema usilolijua ni usiku wa giza... Kila lakheri
 
ungejaribu kufanya vyote kwa pamoja(Mult task) ila kama unajua unaweza uko sawa na kama unajua hauwezi uko sawa pia no time to waste kwa kijana unayejitambua kama wewe ila Mwanzo mzuri👍🏾
 
Mungu ni mwema siku zote!
Nilianza chuo hapa dar es salaam(chuo Fulani)

Tangu naanza chuo mpaka nimepostpone mwaka wa Pili sikuwai kutumia pesa ya Boom!

Nilikuwa najihusisha na uvuvi, kuuza mtumba kuuza samaki nk.
Ndoto Zangu Ni kufanikiwa kupitia vyombo ya usafiri!

Sasa baada ya kupata hiyo fedha! Nimeenda bank kuchukua mkopo wa Bajaj! Nina uhakika baada ya mwaka mmoja nitamaliza mkataba.

Na Nina uhakika nitakopa kadri ya uwezo wangu!

Nimefanikiwa kununua heka Tano za shamba huko mkoani Tabora!

Malengo yangu mwaka huu nilime heka Tano za mpunga!

Pesa nitakayo ipata kwenye kilimo! Kinachofuata Ni kufungua duka la huduma za kifedha. Airtel money! Bank nk.

Baada ya hapo! Nimepata connection ya fundi wa vitanda vya mninga! Huko Tabora huko anauza laki mbili na nusu!

Vile vitanda huku dar naweza kuuza hata laki Saba.

Shemeji yenu Ni supportive Sana na ananipenda!

Pia hapo badae nitakuwa natoa samaki kambale naleta dar.

Yani Mambo Ni mengi Sana muda mchache.
Naiona Safari yangu ya Kuwa Tajiri

Chuo ntarudi mwakani
Ushauri wowote.
Kwenye kulima hakikisha uwe na usimamizi mzuri ,lakinii kam utalimaa kwa remote itakuletea shida most of people siyo waminifu.

Kwa kua wewe bado unatafuta ,inabidii uminimize risk ya kupoteza
 
Sawa Nashukuru Sana!
 
Mkuu wee ni mgeni kwenye utaftaji, kila la heri baada ya mwaka tukutane hapa kujadili progress.. angalizo mishale ni mingi utakwepaa ila lazima ata ikuparaze kidogo kama haitakumaliza kabisa..ndo maisha.

Btw umebakiza miez mingap hesabu ya bajaj? Isije kua unasema haya yote na ndo umerudisha rejesho la kwanza tuu..
 
Sawa
Ila hakuna ugeni Wala uwenyeji kwenye utafutaji unanitisha bure
 
Back
Top Bottom