Recent content by Viva2030

  1. V

    JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene ana hoja ila simuamini

    Wengi tu wanaacha kazi kisa mfumo wa uhamisho kuwa limited sio wewe peke ako
  2. V

    JamiiForums Tanzania Viambatanisho katika mfumo wa uhamisho (ess.utumishi.go.tz)

    Inaumiza sanaaaa Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  3. V

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI acheni kiburi

    Tamisemi katika mwaka imekwama ni huu mwaka ngoja waone Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  4. V

    JamiiForums Tanzania Mitandao mingine ya kihuni Tanzania

    Dawa yake kuwashtaki tu basi Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

    Huo mfumo ni shida sanaaaa yaani 😢😢😢😢
  6. V

    JamiiForums Tanzania KERO Utumishi na TAMISEMI, huu ni mkakati maalum kuzuia maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma?

    Inaumiza mno yaani Mimi ombi langu limefika mkoani naambiwa nikachukue nianze upyaa kwenye mfumo Hali ya kuwa walipokea na kukaa nalo kwa muda wotee huo ,,wanasahau nilitumia gharama za kwenda na kurudi halamashauri,,mkoani acha tu
  7. V

    JamiiForums Tanzania Kwa maafa ya Hanang' serikali iwe inasikiliza wazee

    Kwa habari ya hanang hata mimi nilisikia hicho kitu
  8. V

    JamiiForums Tanzania Walimu watakiwa kuacha kukopa Mikopo ‘Kausha damu’

    Yaaani Kuna sababu nyingi zinazofanya Hadi walimu au wauguzi kufanya hivyo. 1.1/3 yaani alishakopa bank mpaka vigezo vinambana kukopa tena bac anenda huko 2.Ajira mpyaa,hapa Kuna makundi mawili Kuna wale wale ambao wameajiriwa tuu wanataka mkopo coz alishasota sanaa mtaani inabidi achukue...
  9. V

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo manyara
Back
Top Bottom