Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa Mfumo wa Uhamisho ESS?

Habari,

Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
Mifumo mingi ya serikali ni takataka tu. Ukija kwa wafanyabiashara, mwaka jana 2023 walianzisha mfumo wa kulipia leseni ya biashara online kwa jina la tausi! Ulisumbua watu mpaka basi!

Wafanyabiashara hawakupeaa elimu yoyote! Unaenda kulipia leseni, unaambia kajiunge kwenye mfumo! Sijui mwaka huu kama huo mfumo umetulia.

Kwa hiyo hata huko kwenye huo mfumo wa ESS, nako mambo yatakuwa ni yale yale. Sidhani kama wahusika wameshirikishwa ipasavyo kwenye matumizi yake.
 
Tume
Mi Nimekwama hapaa.. Kwenye Cv wamesema unaweka doc ya barua ya kuomba uhamisho.. Sijui ndo vinavotakiwa hataaπŸ™Œ

Mfumo una hekaheka miambiliiii kidogoo πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Nitatoka tu tena this year!πŸ™
tumeambiwa tuweke cv tu barua wamegoma kupitisha wamesema cv tuπŸ˜πŸ€·πŸ»β€β™‚οΈπŸ€·πŸ»β€β™‚οΈπŸ€·πŸ»β€β™‚οΈπŸ€·πŸ»β€β™‚οΈπŸ€·πŸ»β€β™‚οΈ
 
Au tuwafuate uku e-Mrejesho 😁
Mifumo mingi ya serikali ni takataka tu. Ukija kwa wafanyabiashara, mwaka jana 2023 walianzisha mfumo wa kulipia leseni ya biashara online kwa jina la tausi! Ulisumbua watu mpaka basi!

Wafanyabiashara hawakupeaa elimu yoyote! Unaenda kulipia leseni, unaambia kajiunge kwenye mfumo! Sijui mwaka huu kama huo mfumo umetulia.

Kwa hiyo hata huko kwenye huo mfumo wa ESS, nako mambo yatakuwa ni yale yale. Sidhani kama wahusika wameshirikishwa ipasavyo kwenye matumizi yake.
 
Tume

tumeambiwa tuweke cv tu barua wamegoma kupitisha wamesema cv tuπŸ˜πŸ€·πŸ»β€β™‚οΈπŸ€·πŸ»β€β™‚οΈπŸ€·πŸ»β€β™‚οΈπŸ€·πŸ»β€β™‚οΈπŸ€·πŸ»β€β™‚οΈ
Weee kumbe??? Ile ya personal particulars mpaka unapotokea ndio wanataka???

Mwanzo niliweka hio badae mtu akaniambia sio hio ni barua leo tena hawataki barua jamani!! hata hawaeleweki kiukweli

cc Smart911
 
Habari,

Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
Hahahaha kwa mfumo ulivyo unasumbua watu sitoshangaa mtu akajiachisha kazi kwa njia ya mfumo na akakubaliwa akakuta barua yake ofisiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ilo ombi lenyewe la kuacha kazi halitoonekana sababu maombi hayaonekani πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚
Hahahaha kwa mfumo ulivyo unasumbua watu sitoshangaa mtu akajiachisha kazi kwa njia ya mfumo na akakubaliwa akakuta barua yake ofisiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mifumo mingi ya serikali ni takataka tu. Ukija kwa wafanyabiashara, mwaka jana 2023 walianzisha mfumo wa kulipia leseni ya biashara online kwa jina la tausi! Ulisumbua watu mpaka basi!

Wafanyabiashara hawakupeaa elimu yoyote! Unaenda kulipia leseni, unaambia kajiunge kwenye mfumo! Sijui mwaka huu kama huo mfumo umetulia.

Kwa hiyo hata huko kwenye huo mfumo wa ESS, nako mambo yatakuwa ni yale yale. Sidhani kama wahusika wameshirikishwa ipasavyo kwenye matumizi yake.
Kwa sasa tausi iko vizuri
 
Jibu ni hakuna,waliopata vibali vya uhamisho ni wale wa kabla ya mfumo,Kuna jamaa yng kapata,kiukweli utumishi ndio kikwazo kikubwa ktk masuala ya uh

Weee kumbe??? Ile ya personal particulars mpaka unapotokea ndio wanataka???

Mwanzo niliweka hio badae mtu akaniambia sio hio ni barua leo tena hawataki barua jamani!! hata hawaeleweki kiukweli

cc Smart911
Kuhusu barua kutakiwa au la na mambo mengineyo hasa kuhusu takwimu za wangapi wamehama na kuhusu mda ambao uhamisho unatakiwa kuwa umetoka,tunaomba jf watusaidie kuwasiliana na utumishi ili mkanganyiko uishe
 
Back
Top Bottom