Recent content by vitangaye

  1. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Msitufanyie hivyo sisi ndio tuliowafanya mkawa hivyo mlivyo

    "Msitufanyie hivo sisi ndio tuliowasaidia mkawa mlivo na mkafika mlipo" Ni maneno ya Elena Ceausescu kwa asikari Wa Romania waliokuwa wamewatia nguvuni yeye na mmewe tayari kwenda kuwanyonga. Mumewe alikuwa anaitwa Nicolae Ceausescu nuru iliyo shuka duniani tr.26 January 1918 akiwa mmoja Wa...
  2. vitangaye

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kama utopian socialist

    Historia ni mwalimu mzuri kweli. Kiongozi yoyote aliyesoma historia ni rahisi sana kuongoza. CHADEMA ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania. Ndicho chama kinachofuatia kwa kuwa na wafuasi wengi na ushawishi baada ya Chama tawala (CCM). Watanzania wengi wameweka tumaini lao katika chama...
  3. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kwenye Ajira portal nimejaza bado inasoma 92% completed. Ni nini tatizo?

    Signature ya mkono MKUU? Hivi signature inawekwaje?
  4. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Compilation ya Wahenga tu: Kila mwenye picha ya Mhenga aiweke hapa

    Hao walinena kwamba heshima ya mrefu mfupi. Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  5. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Kanali Kashmir, Mahfoudh walivyosaidia msumbiji kupata uhuru -2

    Asante sana mkuu Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  6. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Ni kweli waliouawa Mwanza walitoka Kibiti?

    Kweli we jinga lao.
  7. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifo vya usingizini

    Kawaulize Kama wamewahi kumalizia hizo ndoto, wengi wao huishia njiani ndo wanastuka. Ukimaliza hadi mwisho Rafiki! Yatakuwa mengine.
  8. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifo vya usingizini

    Akikuua mkuu. Hapo uling'atwa mkono ndo ukastuka. Hapo ulikuwa mshindi ungeshindwa yaani angekuua kabisa usingeamka.
  9. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha vifo vya usingizini

    CHANZO CHA VIFO VYA USINGIZINI. Waslaam wanajf kisima cha maarifa. Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Watu Wengi Sana tumekuwa tukijiuliza kwanini mtu analala usiku halafu asubuhi watu wanashudia amefariki?. Au alilala mchana halafu akafia usingizini? Kwanini mtu anafia usingizini? Kwanza...
  10. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Hii sio kanda maalum, ni Ethiopia! Mwanamke kuomba kupigwa viboko kuonyesha upendo kwa mume

    Hivi bado kuna binadamu wa hivyo![emoji16][emoji16]the traged of africa
  11. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi ofisi ya baraza la mapinduzi

    Mi nilifikiri sifa ni kuwa mtanzania kumbe ni mzanzibari du! Hapo hakuna muungano.[emoji3]
  12. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Karibu Venance Mabeyo, karibu sana kamanda

    Duuuuu! Kumbe ni ngosha[emoji19]
  13. vitangaye

    JamiiForums Tanzania Why should I live?

    Mkuu kilichopo hapa ni kutaka kupunguza vifo vya kujiua.Mtu anapota majibu ya maswali haya ni lazima tu ataona uthamani wa maisha. Kwa nini aishi?
Back
Top Bottom