Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 18,716
- 28,622
Kalibu sana Mabeyo katika ukuu wa jeshi letu la wananchi tanzania yaan JW.
Jeshi letu liko poa sana liko rafiki sana na wananchi na halijajichanganya kwenye mambo ya siasa nakuomba ulitenge mbali na wanasiasa usilihusishe na siasa mkuu hatutaki tena kuona wanasiasa wakipiga piga picha na wanajeshi wako
Linda mipaka inavyo takiwa na si vingine iga mazuri ya mtangulizi wako na mabaya uyaache kamanda boresha jeshi letu tafadhari najua hujathibitishwa lakini wewe ndo mkuu wetu wa jeshi ujaye.
Kalibu sana Mabeyo, kazi njema na Mungu akutangulie katika kazi yako hii mpya.