Recent content by Vitaimana

  1. Vitaimana

    Natauta mwanaume mwenye mapenzi ya kweli

    Labda kolomije wana mapenzi ya dhati! Wavumilivu akikupenda hakuachi! wana mioyo mikubwa sana
  2. Vitaimana

    Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

    Ilikuwepo lakini haikuonyesha mafanikio babu MAJI MAJI WAR wazee wetu walipotea sana kwa kuamini hizi mambo! Sasa kama mtu unaamini kidono kwanini usimwamini na Mungu?
  3. Vitaimana

    Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

    Mmmmh mimi Tomaso!
  4. Vitaimana

    Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

    Unataka uturudishie historia ya MAJI MAJI walipaka vidono wakaambiwa risasi zitageuka maji! Wakaisha
  5. Vitaimana

    Kidono/Kinkuti ni kitu gani?

    "....ukiwa umekalia baadhi ya vitu vinavyoweza kukudhulu.." Nimepata shida kuviwaza! Sijui chupa, kisu au bunduki,chui, nyoka!
  6. Vitaimana

    Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Sijui unawaza kwa kutumia Matako we jamaa!
  7. Vitaimana

    Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Uungane na nani?
  8. Vitaimana

    Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

    Walijua ng'ombe wakamvutia sehem expensive, Haa kumbe wanajikaanga
  9. Vitaimana

    Wanaume wa JF katika tuhuma nzito ya kukimbia bili za bar

    Mnapenda vya bwerere eeeh! Maisha si kukomoana! Hapo si ajabu mngejitoa wenyewe mngekunywa Pisner Ice au Balimi mtoto wa watu mkataka kunyonyoa kama kuku wa Christmas!
  10. Vitaimana

    Nimefurahia Nape kutenguliwa uwaziri, sababu hizi hapa

    Hapo penye vyeti unamsema Bashite
  11. Vitaimana

    Maujanja ya kumzimisha demu na kutimiza haja yako

    Don't generalize bwana watu na familia zetu! kama umemega wengi kwa gia ya kuwaoa kimpango wako! Kwanza muoaji hawazi Ugoro, panado wala habbat soda izo
  12. Vitaimana

    Ipi ni njia bora/rahisi, Kuagiza bajaji kutoka Nje au kununua apa Tz

    Yap maana nlijaribu kutaka kuagiza nikaambiwa wana agent wao huku! Nlichonote lbda uwe na mtu kule anunue na kutuma lakini wao baadhi hawatumi wanakuconnect na agent wao wa huku
  13. Vitaimana

    Hivi kwanini wanawake hawapishani kwenye siti wakiona mwenzao mjamzito kasimama?

    Sasa hii ni kiu hiii unakata [emoji1] [emoji1] !
  14. Vitaimana

    Hivi kwanini wanawake hawapishani kwenye siti wakiona mwenzao mjamzito kasimama?

    Wengine wana makusudi anaona gari imejaa hadi mlangoni, na ana mtoto au mjamzito anaingia hvyo hvyo anajua watampisha! Kupishwa si wajibu halafu tumezaliwa tofauti kila mtu ana hila zake!
Back
Top Bottom