Ipi ni njia bora/rahisi, Kuagiza bajaji kutoka Nje au kununua apa Tz

Daviie

JF-Expert Member
May 20, 2016
1,293
1,465
Kama kichwa cha habari apo kinavyoeleza naombeni ushauri wenu. Nimetembelea mitandao kama Alibaba naona bei zao ni nafuu sana tofauti na bei ya hapa Tanzania.Nini kinafanya watu wakwepe kununua huko na waendelee kununua zinazouzwa na makampuni ya huku kwetu.

Otherwise ni bora bei zingepishana kidogo lkn naona gape kubwa sana ata kama ni gharama za usafirishaji zikiongezwa bado price ya kwetu ipo juu zaidi. Why ?

Mfn; hizi hapa chini
97d2771aff790a506cb3f6cdb8944c42.jpg

01774dda473372477ca4fd328030c629.jpg

cd6f93b4f19e6aff542bec86211e525c.jpg
 
Bora tanzania kwa sababu
1. Ukihitaji ni ndani ya siku moja tu
2. Uhakika wa chombo maana unakiona wakati wa kununua.
3. Uhakika wa kuhudumiwa ndani ya miezi sita ikizingua.
 
Hizo za kichina mkuu siyo bajaj original from india,kama unataka original search kwenye soko la india,tatizo linalokuja ni export from india labda uwe na mtu kule india
 
Uhakika wa Chombo ndo mchezo wa pata potea. Lkn bei zao zinashawishi, ukizingatia na ukata wa bongo
 
Hizo za kichina mkuu siyo bajaj original from india,kama unataka original search kwenye soko la india,tatizo linalokuja ni export from india labda uwe na mtu kule india
Hivi Alibaba ni bidhaa za China tu basi. Hakuna mataifa mengine yanayoweka bidhaa ao labda ?
 
Hizo za kichina mkuu siyo bajaj original from india,kama unataka original search kwenye soko la india,tatizo linalokuja ni export from india labda uwe na mtu kule india
Yap maana nlijaribu kutaka kuagiza nikaambiwa wana agent wao huku! Nlichonote lbda uwe na mtu kule anunue na kutuma lakini wao baadhi hawatumi wanakuconnect na agent wao wa huku
 
Hivi jamani ist possible kununua hivi vibajaji india na kuvituma bongo na wanatuma kwa njia gAni mi niko india naombeni maelezo nawwza kunufaika labda
 
Unaweza agiza alibaba moja kwa moja ila hakikisha inafanyiwa inspection huko wakutumie na document za kapeleka tbs. China mpaka tz ni siku 30 mpaka 45 pia hakikisha unajua makadirio ya ushuru Tanzania ili usije ukaicha bandarini.
 
Lakini huku bei inakubwa zaidi pengine mara mbili hadi tatu. Hilo ukiwauliza wanasemaje ?
 
Hivi jamani ist possible kununua hivi vibajaji india na kuvituma bongo na wanatuma kwa njia gAni mi niko india naombeni maelezo nawwza kunufaika labda
Mkuu inaweza kuwa fursa hiyo. Jaribu kufuatilia kampuni zao huko
 
Unaweza agiza alibaba moja kwa moja ila hakikisha inafanyiwa inspection huko wakutumie na document za kapeleka tbs. China mpaka tz ni siku 30 mpaka 45 pia hakikisha unajua makadirio ya ushuru Tanzania ili usije ukaicha bandarini.
Iv kumbe mpk bajaj nazo znaenda tbs . Yaan tatz serikali yetu nayo inanjaa sana ya mapato kipindi hiki
 
Back
Top Bottom