Recent content by Visionor

  1. Visionor

    Natafuta mwenza wa maisha

    Habari wana JF, Natafuta mwenza wamaisha umri kuanzia miaka 30, awe mwelewa, mcheshi, hofu ya Mungu, Upendo wa kweli, mahali popote, kabila lolote anakaribishwa. Mimi ni mwanaume mwenye umri miaka 38. Kazi nimejiajiri mwenyewe, dini ni mkristu. NB: Awe tayari kupima HIV.
  2. Visionor

    Natafuta mke wa kuoa wasiliana nami kwa 0620197245

    Hello jf member, naitwa Adamson,natafuta mke wa kuoa tunaanzia urafiki mpk kuoana,umri wangu Ni miaka,32,Mkristu, Mke anaye takiwa awe na umri miaka 26-30 mwenye hofu ya Mungu.Awe anaishi morogoro,dar,iringa,,aswe mrevi,asiwe mnene Sana,asiwe mrefu Sana,elimu degree,asiwe na myoto maana Mimi...
  3. Visionor

    Natafuta mke

    Hello jf member, naitwa Adamson,natafuta mke wa kuoa tunaanzia urafiki mpk kuoana,umri wangu Ni miaka,32,Mkristu, Mke anaye takiwa awe na umri miaka 26-30 mwenye hofu ya Mungu.Awe anaishi morogoro,dar,iringa,,aswe mrevi,asiwe mnene Sana,asiwe mrefu Sana,elimu na degree na kuendelea,asiwe na...
  4. Visionor

    Tujikwamue vijana na kuondokana na umaskini 2018-2025

    Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi mkuu
  5. Visionor

    Tujikwamue vijana na kuondokana na umaskini 2018-2025

    Ama nifanye nini ili vitu nilivyonavyo visipotee nijekuisaidia jamii ya Tanzania?
  6. Visionor

    Tujikwamue vijana na kuondokana na umaskini 2018-2025

    Habari, Mimi ni kijana mwenzenu mwenye ndoto ya kufanikiwa nakufika mbali kimaisha na kusaidia watu wasiojiweza,watoto yatima,mama wajane,wazee wasiojiweza. Nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2015,kwa stashahda ya uhasibu,ila kazi bado sijabahatika kuipata.Swali language nifanye nini ili nitimize ndoto...
  7. Visionor

    Natafuta mke wakuoa atakaye kua na mapenzi ya kweli

    Habari wana jf,jina natafuta mke wakuoa atakaye kua na mapenzi ya dhati,umri wangu ni miaka 36,sina mtoto,wala sijawahi kuoa,sivuti wala kutumia kilevi,nina dgree ya pili,pia nimeajiriwadini mkristu,mke nimtakaye awe na umri kati ya 25-29,elimu kuanzia dgree na kuendelea,awe mweupe,awe...
  8. Visionor

    Natafuta vijana wa kusaidizana kupambana na umaskini

    Kutembeza vyombo hapana,karibu sana
  9. Visionor

    Natafuta vijana wa kusaidizana kupambana na umaskini

    Karibu sana msakatonge mwenzangu
  10. Visionor

    Natafuta vijana wa kusaidizana kupambana na umaskini

    Ok,vizuri nina business plani kumi ,kati ya hizo ni kuanzisha, 1.Saving credit loan/microfinance bank/Rural community bank/Town community bank. 2.Tv and film production 3.kutengeneza fagio za nje kwa kutumia makopo ya liotumika ya maji.hii itasaidia kuhifadhi mazingira 4.Wedding hall decoration
  11. Visionor

    Natafuta vijana wa kusaidizana kupambana na umaskini

    Karibu unakaribishwa utu uzima ni dawa usiogope tunawaitaji kwani mmeona mengi nasi tutajifunza
  12. Visionor

    Natafuta vijana wa kusaidizana kupambana na umaskini

    Karibu unakaribishwa utu uzima ni dawa usiogope tunawaitaji kwani mmeona mengi nasi tutajifunza
  13. Visionor

    Iam looking donors who will facilitate me to run my project.

    Hellow, lam Tanzanin man who having my own vision to fight against poverty. Also numerous business plan i have are: 1.Marriage hall decoration 2.Photographer 3.Tv and film production 4.Mobile food shop 5.website design service 6.Event organisation 7.CCTV installation 8.Solar installation...
Back
Top Bottom