Visionor
Member
- Nov 9, 2017
- 20
- 14
Hi,ndugu zangu wana jf , naamini humu kuna wasakatonge kama mimi.karibuni tujumuike kumpiga adui umaskini .Hivo natafuta vijana wachapa kazi wenye I dea za kujikwamua na umaskini.Sina ubaguzi wa dini ,elimu rangi wala kabila,aliye soma na hata ambaye hajasoma wote mnakaribishwa.njoo pm tuweke mipango na mikakati namna ya kudikia malengo.Kwahiyo vijana wachapakazi njooni tutengeneze ajira za watanzania wote 2018
PRE-COOPERTIVE UNITS
Inatangaza nafasi tano (5) za wanachama wapya.
Sifa za muombaji awe na vigezo vifuatavyo.
1.Awe tayari kuunda ushirika
2.Awe tayari kulipia kiingilio
3.Awe tayari kununua hisa
4.Awe tayari kuweka akiba
5.Awe tayari kushiriki kwa ukamilifu katika kusimamia miradi yetu.
6.Awe hajawahi kushitakaiwa kwa kesi ya aina yeyote.
7.Awe anajua kusoma na kuandika.
8.Awe ni mtu anayejitambua na mchapa kazi.
9.Awe na hofu ya Mungu amtangulize Mungu mbele
10.Awe tayari kusaini mkataba wa ushirika wetu baada ya kutuma na endapo atakua na sifa kua mwanachama.
Tuma cv yako na bila kusahau copy ya kitambulisho cha mpiga kura/kitambulisho cha uraia/barua kutoka kwa serikali za mtaa kwa emai ifuatayo maljphnson02@gmail.com,Mwisho wa kutma maombi ni tarehe 30/12/2017.
N:B kama kuna mtu anataka kua mwanachama Mwanzilishi nafasi bado zipo ,Pia tunaomba donors ,sponsors ,mashirika binfsi,watu binafsi ambao wanataka kufanya kazi na sisi mnakaribishwa sana .Ili kuongeza wigo wa ajira kuaTanzania mpya ya viwanda tuna miradi mingi ya kufanya.