Recent content by Vishikaran

  1. Vishikaran

    Uliachana vipi na mpenzi wako wa zamani?

    Mimi hata sijui kosa lilikua nini au nilikosea wapi.Nilikua na huyu mtu miaka ya kutosha mara nikaona kimya nikiuliza najibiwa shoti shoti mara nasikia jamaa anaoa aisee imenidistab sana mpaka leo.Hii dunia hamna jema sijawahi kucheat wala kuomba hela sijawahi kumsumbua yaani sijui kama nitakua...
  2. Vishikaran

    November 25 yagombaniwa, Efm/TvE vs Clouds Media

    Fiesta haijawahi kua ya East Aftica.. tangu inaitwa summer jam mpaka kua fiesta iko chini ya clouds
  3. Vishikaran

    Nimekuwa mtanashati mno, hadi nimekuwa kero kwa wengine

    You have some sort of OCD jaribu kufanya research. Pole sana
  4. Vishikaran

    Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

    Dooh! What happened?!
  5. Vishikaran

    Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

    [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ukikua utaacha
  6. Vishikaran

    Clouds mnaudharaulisha Wimbo wa Taifa

    Haupigwi hovyo hovyo. Unapigwa saa moja kamili kabla ya taarifa ya habari kwa kweli unajenga uzalendo sana hio mida hua niko na mtoto wangu alikua hajui kuiimba lakini sasa hivi anaujua vizuri. Mleta uzi jaribu kwa angle nyingine hii hapana.
  7. Vishikaran

    OMBI; Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar, njoo misikitini tujadili maendeleo ya waislamu, usishinde sana kwa RC

    Hayo ndo matatizo ya kuliendekeza tumbo..Mwenyezi Mungu atuongoze..:(
Back
Top Bottom