OMBI; Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar, njoo misikitini tujadili maendeleo ya waislamu, usishinde sana kwa RC

Tatizo la Sheikh Mkuu wa mkoa ni njaa kali, kipindi cha nyuma kazi yake ilikuwa ni kuzunguka maofisi ya serikali kupiga mizinga ili apate kuishi sasa kapata pa kuponea kazi yake kubwa ni kupooza majanga anayofanya Bashite maliyamungu
Sa

Sasa hivi atakuwa anapiga makombora ya nyuklia,sio Mizinga tena
 
Nim
Namshauri sheikh mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam azunguke misikitini tujadiliane naye kuhusu maendeleo ya waislamu kuhusu mambo mbalimbali kama elimu,uchumi,kusaidiana

Nasema hivyo kwa kuwa tunaishia kumuona katika TV tu akihudhuria hafla za serikali na kusahau wajibu wake kwa waislamu

Mbona hajiulizi kwa nini viongozi wa makanisa kama maaskofu wa KKKT,RC,Anglicans huwa hawaoni katika hafla hizo na kwa nini yeye ndio kila siku anakuwepo?

Waislamu tuna shida nyingi,kila mwaka shule zetu zina kuwa za mwisho,hatuna hospital nzuri,chuo kikuu ni kimoja cha morogoro nacho kina hali mbaya
Nimeipenda hii hasa suala la kuhimiza kujadili maendeleo ya uislamu.lakini ushauri huu ungependeza zaidi kama ungeupeleka BAKWATA .maana ofisi ya SHEIKH MKUU IPO WAZI kwa kila muumini."Tusimwage mtama kwenye kuku wen

gi".Kuna mengi yanafanyika mazuri na kuna mengi bado yanawahitaji wataalamu wenye uono kama wewe..
 
Huyu shehe mi binafsi simwelewagi anapenda kutwa yupo na wanasiasa sijui muda gan anatumia kupanga mipango ya maendeleo na waumin wake.
 
waislamu hatujitambui. tunapenda sana kujipendekeza na tuvitu tudogo tudogo. viongozi Wa kiislamu akitembelewa nyumbani na kiongozi Wa kisiasa, basis yeye atamwomba achangie pesa ya harusi kwani anataka kuongeza make Wa tatu.
Kweli mkuu mm mwislamu ila nawachukia waislamu wa aina ya prof. Lipumba, shekh wa mkoa na jecha. Japo iman inakataza kuchukiana na kuhukumiana ila hawa nawachukia
 
Namshauri sheikh mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam azunguke misikitini tujadiliane naye kuhusu maendeleo ya waislamu kuhusu mambo mbalimbali kama elimu,uchumi,kusaidiana

Nasema hivyo kwa kuwa tunaishia kumuona katika TV tu akihudhuria hafla za serikali na kusahau wajibu wake kwa waislamu

Mbona hajiulizi kwa nini viongozi wa makanisa kama maaskofu wa KKKT,RC,Anglicans huwa hawaoni katika hafla hizo na kwa nini yeye ndio kila siku anakuwepo?

Waislamu tuna shida nyingi,kila mwaka shule zetu zina kuwa za mwisho,hatuna hospital nzuri,chuo kikuu ni kimoja cha morogoro nacho kina hali mbaya
Ustadhi Keep it up! Mpe sapoti ya kutosha RC...wachana na hawa wafanya MADAWA YA KULEVYA na wasio na HOFU YA MUNGU....
 
waislamu hatujitambui. tunapenda sana kujipendekeza na tuvitu tudogo tudogo. viongozi Wa kiislamu akitembelewa nyumbani na kiongozi Wa kisiasa, basis yeye atamwomba achangie pesa ya harusi kwani anataka kuongeza make Wa tatu.
Umeanza vizuri sana ila naona umeharibu mwishoni kabisa na huko ndiko nia kuu ya ujumbe wako ilipo
 
Namshauri sheikh mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam azunguke misikitini tujadiliane naye kuhusu maendeleo ya waislamu kuhusu mambo mbalimbali kama elimu,uchumi,kusaidiana

Nasema hivyo kwa kuwa tunaishia kumuona katika TV tu akihudhuria hafla za serikali na kusahau wajibu wake kwa waislamu

Mbona hajiulizi kwa nini viongozi wa makanisa kama maaskofu wa KKKT,RC,Anglicans huwa hawaoni katika hafla hizo na kwa nini yeye ndio kila siku anakuwepo?

Waislamu tuna shida nyingi,kila mwaka shule zetu zina kuwa za mwisho,hatuna hospital nzuri,chuo kikuu ni kimoja cha morogoro nacho kina hali mbaya
Nashukuru kwa kunitangulia, naunga mkono hoja.
 
Ndiyo Mlivyo. Hata ungekuwa wewe ndio sheikh ungekuja kutafutwa humu kama unavyo mtafute huyu
 
Namshauri Sheikh mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam azunguke misikitini tujadiliane naye kuhusu maendeleo ya waislamu kuhusu mambo mbalimbali kama elimu, uchumi na kusaidiana.

Nasema hivyo kwa kuwa tunaishia kumuona katika TV tu akihudhuria hafla za serikali na kusahau wajibu wake kwa waislamu.

Mbona hajiulizi kwa nini viongozi wa makanisa kama maaskofu wa KKKT, RC, Anglicans huwa hawaoni katika hafla hizo na kwa nini yeye ndio kila siku anakuwepo?

Waislamu tuna shida nyingi, kila mwaka shule zetu zinakuwa za mwisho, hatuna hospital nzuri, chuo kikuu ni kimoja cha Morogoro nacho kina hali mbaya.

Ukweli mchungu
BAKWATA ni Kama jumuiya nyingine tu za CCM, imeshindwa kujipambanua na kujitegemea licha ya wingi wa waislam wewe hushangai mpaka ofisi wanajengewa na serikali.

TEC na CCT huoni wanavyoendesha miradi yao nakujitegemea
 
Kweli mkuu mm mwislamu ila nawachukia waislamu wa aina ya prof. Lipumba, shekh wa mkoa na jecha. Japo iman inakataza kuchukiana na kuhukumiana ila hawa nawachukia
Yaani likitaka kufanya jambo baya mahala popote pale muislamu anachaguliwa,kama ishu ya lipumba,lipumba anatudhalilisha kabisa
 
Nashauri Wakristo wengi katika ' uzi ' huu tuwe tu Waangalizi kwani tukisema kuinua tu midomo yetu hali ya hewa najua itachafuka humu. Binafsi nina mengi kidogo ya kuchangia juu ya huyu Kiongozi anayesemwa hapa na pia kuchangia huu ' uzi ' wa Member wetu ila nikikumbuka tu kwamba Mimi ni Team Mpigiwa Kengele na siyo Team Adhana moyo wangu unasita.
Sawa mkuu.Acha wajadili wenyewe.
 
Hao wanaomualika kwenye pilau angeandaa dhifa ya kuchangia ujenzi wa hospitali ya kisasa ya waislamu hapa Dar,sasa yeye akishapiga mpunga huyoooo

Kuandaa mkakati kuhakikisha shule za waislamu zinafanya vizuri
HEHE sheikh ubwabwa
 
Back
Top Bottom