Recent content by violita

  1. violita

    Wanawake wanaozaa mapacha wana baraka kuliko wanaozaa mmoja

    Hajui kuna mbegu za kupandikiza achana naye
  2. violita

    Nyumba ya Mengi hapa Machame sasa inamilikwa na wifi yetu

    NRONGA hakuna eneo la kuuza kila mtu ana eneo lake alilopewa na wazazi wake, labda akanunue Lambo au Kimashuku
  3. violita

    Msaada wa dawa yakuumwa kichwa mda mrefu.

    Jamani na mimi ninaomba msaada, Kichwa kinaniuma kwenye mishipa hasa nikicheka mfululizo au nikiinama,nimeshaenda hosp kam nne GEMSA, NSK, ALMC na AICC kwa hapa arusha wakanipima hadi hormone ila wanadai hawaoni tatizo,kwa mwenye ufahamu zaidi anisaidie jaman,kuna wakati nashindwa kutimiza...
  4. violita

    Walimu wanaofundisha shule za binafsi huwa wasoma pamoja na Walimu wanaofundisha shule za Serikali?

    Acha kabisa ndugu, mimi ninafundisha darasa lenye wanafunzi 119, na kila siku ninatakiwa nawape maswali 30 kuendelea, kusahihisha sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. violita

    Kutoka dimba la Taifa: Simba SC watakata! Wairarua Singida Utd goli 4 kwa nunge, wajikita kileleni kwa alama mbili zaidi

    Mbona nakupenda hivyo lakini unanifanyia ukatili? Nimebet mwenzako ugue
  6. violita

    Msaada: Arusha to Kigoma kwa kutumia usafiri binafsi

    Naomba lift nafundisha shule ya msingi buhingu
  7. violita

    Humphrey Polepole azungumzia hali ya kisiasa nchini; viongozi zaidi ya 20 kuhamia CCM Januari 18

    Wapinzani nawashauri waende wengi huko ccm,wakifika huko waungane watengeneze upinzani imara wakiwa hukohuko ccm
  8. violita

    Tuliosoma tuition ya English kwa "USTADH" chang'ombe Dar es salaaam tukutane hapa

    Aisee umemaliza mwaka mmoja na mwandani wangu anakusalimia sana
  9. violita

    Kigoma, mkoa pekee nchini usiounganishwa kwa lami na mikoa mingine

    Mbavu zangu jamani,umesahau sibwesa, kapamsenga,rukoma,igalula,na katumbi
  10. violita

    Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Kaparamsenga Karibu na Herembe kuelekea rukoma Sent using Jamii Forums mobile app
  11. violita

    Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Nronga Sent using Jamii Forums mobile app
  12. violita

    E. Kezilahabi: Rosa Mistika

    Ninayo riwaya ya Rosa Mistika ila ngoja Nimalize kufanya UE ya semister hii nitakufanyia mpango ukipate
  13. violita

    Nasikia harufu ya mbunge mmoja wa kuteuliwa kupangiwa kazi nyingine...

    Mangu Karibu kilimakyaroo baba
  14. violita

    Epuka kuweka maagano ya damu kwenye mahusiano

    Nilishawahi kuambiwa hivyo na Kijana mmoja wa machame akiniambia tuchanjiane Damu,nikamuliza ili iweje, akasema eti hataki usaliti na kama nitamsaliti nitakufa, nikamuuliza alisikia wapi akaniambia wazee ndio walikuwa wanafanya hivyo, nilimkwepa maskini sijui hata yuko wapi
Back
Top Bottom