Taratibu tujue mama yake kama ana baraka au ni kibaraka.Kwahiyo mengi kumjengea mke wake aliyezaa mapacha, kunamfanya mtu anayezaa mapacha kuwa Mwenye baraka?
Bikra Mariam ni mwanamke aliyebarikiwa kuliko Wana wake wote.
Alizaa mapacha nani na nani.
Ni mawazo yako tu.
hii ni stori kama stori nyingine mungu angetaka kondoo wazaliwe mapacha ilikua haina haja ya kuhangaika na vijiti kwenye maji .Kwa mujibu.wa Yakobo wakati anachunga kondoo wa mkwe wake Labaan alipewa sharti kuwa kondoo atakayezaa watoto wa rangi ya pundamilia ndio watakua wa Yakobo. Basi yakobo akaambiwa na Mungu kuweka vijiti kondoo wanakunywaga maji.
Kufupisha hadithi ni kwamba kondoo wengi walizaliwa mapacha wa rangi ya pundamilia kwa kuangalia vile vijiti wanapokunywa maji.
Yawezekana maji ya ule mto kule Katavi ukinywa maji wake wakati wa ujauzito unazaa mapacha kama kondoo wa Laabani[emoji12][emoji12][emoji12]
Sina hitimisho la mapacha ninachojua kila mtoto ni BARAKA.[emoji129][emoji127][emoji2149]
HATA ANGETAKA KUWAPONYA WANA WA ISRAEL WASIUMWE NA NYOKA ANGEWEZA BILA KUMWAMBIA MUSA ATENGENEZE NYOKA WA SHABA.hii ni stori kama stori nyingine mungu angetaka kondoo wazaliwe mapacha ilikua haina haja ya kuhangaika na vijiti kwenye maji .
sasa hapo huoni unazidi kukazia na kuipa nguvu hoja yangu.HATA ANGETAKA KUWAPONYA WANA WA ISRAEL WASIUMWE NA NYOKA ANGEWEZA BILA KUMWAMBIA MUSA ATENGENEZE NYOKA WA SHABA.
HATA ANGETAKA KUWATOA WANA ISRAEL KUTOKA MISRI ANGEWEZA BILA KUWAPIGA WAMISRI KWA MAPIGO 12
SO ACHAGA UBISHI KAMA HUJUI MAMBO BORA KUNYAMAZA
MUNGU ALIFANYA KAZI NA WANADAMU SIKU ZOTE NDIO HOJA YANGUsasa hapo huoni unazidi kukazia na kuipa nguvu hoja yangu.
wapi alisema hayo,tunaamini mungu ni mkamilifu alikua na haja gani ya kusaidiwa kazi zake na mwanadamuMUNGU ALIFANYA KAZI NA WANADAMU SIKU ZOTE NDIO HOJA YANGU
SAWA MAANA UNANICHOSHAwapi alisema hayo,tunaamini mungu ni mkamilifu alikua na haja gani ya kusaidiwa kazi zake na mwanadamu
Hajui kuna mbegu za kupandikiza achana nayeWewe ulizaliwa pacha? (Yaani mama yako amezaa mapacha)