Recent content by VinJoe

  1. VinJoe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    So wapumbavu ni kama wale wanaokaa siku nzima JF kuongelea kuhusu matatu ni safer than DART alafu wanataka waonekane wana akili? Mtoto wangu ako miaka 4 ila kako na common sense kukuzidi. Natamani ningezaliwa Tanzania taifa ambalo lina historia kubwa taifa ambalo ni ndoto ya wengi wetu kuishi...
  2. VinJoe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hahahhaaaa nimewagusa panapouma ee?
  3. VinJoe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hahahhahaaaaa wa TZ wamepa hoja mpaka unatumia matusi pole.. Punguza hasira kula sukuma wiki sana nasikia inapunguza makasiriko yasio na sababu.
  4. VinJoe

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Zamani kwa akili zangu za kitoto niliamini kujua kingereza ni mojawapo ya dalili kua una uwezo mkubwa wa akili. Ila nikiwa mdogo hivyo hivyo nilikuja kugundua kua hata England kuna machizi na wagonjwa wa akili wanaoongea kingereza vizuri kuzidi Lecturer wangu ila ni wagonjwa wa akili. Tafadhali...
  5. VinJoe

    Tuache unafiki tuseme ukweli

    Hii ni kweli aisee ndio maana mashemeji hawachoshi maana hupigi kila siku ni mpaka chance ipatikane😂
  6. VinJoe

    Wanaume wengi mnapishana na watoto wenu barabarani

    Sikuwahi hata kua na hisia na yule dada naamini na yeye ni hivyo hivyo.. na ninadhani ndio rafiki yangu pekee wakike nilie wahi kumchukulia kama ndugu yangu kuzidi mtu mwingine maana kwa kipindi hiko tulikua watu bwa bata jingi na hata kulewa pamoja ila hatukuwahi hata kushikana kinamahaba au...
  7. VinJoe

    Maana ndani ya picha - njoo tutafute maana

    Yesu hakuwa mweupe.. Utasamehewa kwa kufikiria vinginevyo kutokana na yale tunayolishwa na kukaririshwa kwenye makanisa yetu tokea utotoni. Na kwenye bibilia hakuna maelezo ya kimwili (physical description) yanayoelezea rangi yake na vitu kama hivyo, hakuna shaka pia kwamba Yesu wa kihistoria...
  8. VinJoe

    Wanaume wengi mnapishana na watoto wenu barabarani

    Hahaaa hii imenikumbusha kipindi niko chuo. Nilikua naonekana mtoto wa chuo hata nikiwa 2nd year bado nilikua naonekana mimi ndio mtoto So hii ilinifanya nifahamike na wengi na hata kua na marafiki wengi sana. Kuna mdada mmoja alikua mchubby flani hivi alitokea kunipenda sana ile ya kirafiki na...
  9. VinJoe

    Kwa Experience yangu ya muda mfupi kwenye "Betting" nimegundua mambo machache

    Jambo la kwanza na kubwa kabisa betting is addictive very addictive hutaamini itakavyo kukamata na kuingia kwenye mishipa ya damu yaani kuna wakati kukaa bila kua na ka mkeka unakokasubiria ka tick ✅ basi unahisi kama kuna kitu hakiko sawa hivi. Jambo lingine ni kwamba utakua na matumizi yasio...
  10. VinJoe

    Sikukuu za Krismasi za zamani ni tofauti na za sasa hivi

    Brother sijui kama nimeelewa point yako vizuri ila kaka sikukuu sio ya watu wenye hela tu kaka Mimi kwenye kukua kwangu nili experience pande mbili za maisha.. kwa wazazi wangu familia zao kuna mmoja kwao zipo sana na mmoja kwao hazipo Sasa labda nikuambia kwa upande ambao hazipo.. nilishawahi...
  11. VinJoe

    Sikukuu za Krismasi za zamani ni tofauti na za sasa hivi

    Nakumbuka zamani Christmas ilikua sikukuu kubwa kuliko hata mwaka mpya kwa familia yangu.. ilikua inasherehekewa kwa namna ya kipekee sana kwanza Christmas ilikua ni lazima siku hio mvua inyeshe so inakua na theme ya ubaridi mvua na matope. Lakini sidhani kama hio kitu bado ipo. Zamani...
  12. VinJoe

    Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

    Kaka sijui kama umsomaji mzuri wa bibilia ila kuna visa vingi kutoka kwa jamii ya walioamini ambao walioa binamu zao. Mfano mzuri ni yakobo alieoa binamu zake wawili.. na tusisahau Yakobo ndio aliitwa Israel na uzao wake ndio uzao hata Kristo anapokuja kutokea.. Ila hio ni kiimani.. zaidi haya...
  13. VinJoe

    Ni kitu gani bora zaidi ulichokiona kwenye mitandao leo?

    Nime update mkuu now kuna maelezo ya picha hizo mbili.
  14. VinJoe

    Ni kitu gani bora zaidi ulichokiona kwenye mitandao leo?

    Hii imetokea Nigeria. Mlinzi wa bank alipata ujasiri na kumfikia Meneja wa Benki. Na kwa ujasiri akamwambia kwamba yeye ni mhitimu na angependa kushiriki katika "Aptitude test" kwa nafasi iliyo wazi. Boss alikuwa mkarimu sana na akamruhusu kushiriki mtihani. Kwa kuwa, lilikuwa jaribio la...
  15. VinJoe

    Je, kimaadili, mila, desturi na tamaduni zetu za kiafrika ni sawa kua na mahusiano na binamu?

    Na Yakobo alioa binamu zake tena wawili Leah na Rachel watoto wa mjomba yake aliekua anaitwa Laban. Ila kaka ishu zaidi hapa ni wazazi jamii na mila nadhani 😢
Back
Top Bottom