Recent content by Viicky Map

  1. V

    JamiiForums Tanzania Hata kwa shs. 4000 kwa siku ntafanya kazi.Naomba msaada.

    jaribu kwenda dstv head office unaeza pats kazi ya kutafuta wateja plz go and try mwaya!
  2. V

    JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya mafanikio ya Lady Jay dee

    ha ha ha ha ha jf raha jmn oooh u made my day nimecheka sana baada ya kuwa moodless kwa muda
  3. V

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi

    hp unakosea mm natafuta kazi ya kutambulika na kuheshimika
  4. V

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi

    sawa asante
  5. V

    JamiiForums Tanzania natafuta kazi

    wanajamvi habarini, mm ni msichana niliemaliza bachelor of arts in public relations and marketing natafuta kazi yeyote ya uhalali ht km ni hotel kubwa as a receptionist nipo tyr kuliko kuendelea kukaa bure nyumbani, its serious jamani nipo mwanza ilemela
  6. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania NI KAULI GANI AMBAYO WANAUME HUTAMKA PALE WANAPOKUWA WAMEACHWA NA MADEMU ZAO.a.k.a KIBUTI...??

    utasikia wanasema demu mwenyewe choko tu mm wa nn mwache aende zake!
  7. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia inayonikera ya baadhi ya wanaume

    lakini kumbuka sio kila mwanamke mzuri ni type yako, vingine vya wakubwa jmn....labda zinakuwaga sio akili zao wanapotongoza kwa sbb wapo wanapsukumwa kutongoza na ujasiri wa viroba, bhangi na pombe
  8. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia inayonikera ya baadhi ya wanaume

    hp ht mm huwa nachoka, yn wanaume mnatia aibu mtu mwingine ht robo hamuendani lakini yupo tu na yeye kufuata mkumbo kutongoza sizr si yake! Tabia mby
  9. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Come we stay style!!!!!! Unaionaje?

    unanichekesha jmn
  10. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kasema tukapime,bila kujua ye ndo possitive.

    mh...jmn mpe pole na hongera kwa kupima ni kitendo cha ujasiri! usimuache jrb kufikiria km hiyo hali ungekuwa nayo wewe?kuwa nae karibu ht kwa kumpa moyo na upunguze kuwa unaongelea sana hrb za HIv/Aids mbele yake
  11. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania pitia usiipuuze hii story ni muhimu na ya kweli kabisa

    tabia mby hiyo kwani kuna mtu aliekulazimisha kuisoma jmn? duh acha hizo this is social network
  12. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utajiri wa damu

    duh mzizimkavu jmn unanikosha na story zako big up jmn.......but malizia bs hii
  13. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania How To Breakup With A Woman......!!!!!

    hayo ndiyo mambo ya mapenzi, ni vzr kukubaliana na ukweli coz uwezi kuumia milele, ipo siku utasaha n life will move on, wanaume washenzi sana......mwambie ukweli dada wa watu achape lapa but wat goes around comes around
  14. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KERO KATIKA MAPENZI na UHUSIANO: Kipi kinachokuudhi japo unaogopa kumwambia?

    mm wng ana kauli chafu szinazokeraa bt nishamuonya haelewi yn ila dawa yk ipo jikoni
  15. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenu wanaume wenzangu wooote!!

    hiyo ni kweli kbs kuna wanaume washenzi sana dunia hii, afadhali umewapa zao za ukweli jmn badilikeni bs
Back
Top Bottom