Recent content by vidudi

  1. vidudi

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Amesomea mineral processing anatafuta kazi

    Ndugu wana JF, Poleni kwa majukumu na hongereni kwa kuendelea na majukumu hayo. Kipindi kama cha mwezi mmoja hivi niliwahi kuleta ombi na kuhitaji msaada kwa dada yangu ambae alikuwa anahitaji nafasi ya kazi katika maeneo ya migodi au viwandani kutokana na taaluma yake aliyoipata. Kwa...
  2. vidudi

    JamiiForums Tanzania DC mdogo kuliko wote Tanzania, ashirikiana na mbunge kuimba wimbo kuhamasisha Elimu Wilayani

    Lakini miili ya hawa wenzetu duh yaani utadhani ana30 yrs vile au ndo majukumu?
  3. vidudi

    JamiiForums Tanzania Nawaza: Walimu wenye diploma na grade A wangepunguzwa kupisha digrii

    Hivi umemsahau aliyekusomesha hiyo DEGREE UCHWARA yako kuwa yeye ni miongoni mwa hao wenye DIPLOMA???
  4. vidudi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mmekuwa maskini wa nywele sasa

    Tena wanasahau hata kuzihudumia nywele zao halisi ikitokea WIGI limewavuka katikati ya hadhara wanakuwa kama wadudu
  5. vidudi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Alinikimbia na kuniibia vitu ndani, sasa anataka turudianae anadai anaumwa

    Hivi sisi tuna uchungu zaidi na wewe kuliko MAMA YAKO MZAZI???? kama sisi ni BORA kwako kuliko mama yako basi MRUDIE huyo KIMADA WAKO
  6. vidudi

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    Ndo maana yake
  7. vidudi

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    N Nao wana nyumba ndogo
  8. vidudi

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    Mbona wenyewe wanayaweza
  9. vidudi

    JamiiForums Tanzania Je, wajua? - Special Thread

    USILOLIJUA KUHUSU TEMBO. 1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi. 2. Tembo ana uzito wa tani 7 3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2 4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80 5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita...
  10. vidudi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo cha hatari ulichowahi kukifanya kwenye mapenzi na kikakushangaza mwenyewe

    Hapo ulivunja rekodi duh
  11. vidudi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitendo cha hatari ulichowahi kukifanya kwenye mapenzi na kikakushangaza mwenyewe

    Duh huyo alikuwa mzoefu
  12. vidudi

    JamiiForums Tanzania Mashine za juisi ya miwa

    Poleni kwa mihangaiko ya kutafuta Riziki. Nahitaji mashine ya kutengeneza juisi ya miwa kwa gharama nafuu.
  13. vidudi

    JamiiForums Tanzania Simba yashikwa sharubu bila kufurukuta na African Lyon, yalala kwa goli moja Uhuru Nov 6, 2016

    bora nyinyi mumeuzoea huo mchezo cc tunaona km tumebakwa
  14. vidudi

    JamiiForums Tanzania PC HP Elite Book inauzwa

    oky hyo ni min au zile kubwa na bei pungufu ya hapo mwisho wako wa kuuza iwe sh ngapi
Back
Top Bottom