Egwugu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 17,558
- 8,555
KaribuHe hee ntakucheki badae halafu
KaribuHe hee ntakucheki badae halafu
Kwa nn usishauri wkt ni jambo jema??mmmhhh acha watu waishi wapendavyo na sio utakavyo. Binafsi siyapendi ila siwezi kushauri na Fulani achukie hiyo miwigi.
Si kweli,sema unakuta wasioweka ni wakumurika kwa tochi,,kwa hiyo no way..ila wanaume wengi tunapenda natural hair..hebu mcheki mtoto tunda alivyotulia na natural hair...hebu africa tuwe waafrica,mbona wazungu wameridhika na nywele zao.wanaume ndo maana mnachepuka saana. Acheni wanawake wajipambe bila kuwavunjia heshima. Kwani mtu akivaa wigi anabadilika uanawake wake? Mimi sioni sababu mwache mwanamke ajipambe wivu ni mbaya
Ninyi mnaosema hivi kesho tunawakuta mnavizia wanawake walioweka mawigi acheni unafki jamani
Inasababisha hata akili zao zinakuwa fake,maana akili ni nywele.Fake hear stinks big time yani,
Kweli kabisa wakiwa na pesa wanasafisha kwa wiki mara moja,wasipokuwa na hela hata mwezi...jamani shida yote ya nn??Kibaya zaidi wavaa minywele bandia huwa hawakogi kichwani. Ni uchafu mtupu.
Wanawake watusikie sisi wanaume...mmeumbwa kwa ajili yetu..tusikilizeni...tunataka mubaki na nywele zenu mlizopewa na Mungu.Hafu wakivaa hayo mawigi mabichwa yanaongezeka yanakuwa makuubwaa ka tikiti maji! Pia mengi yananuka na frankly hayawapendezi wengi,a woman on her natural hair ananoga aiseeh
Jivunie kile ulichopewa na Mungu.Haya nimekusikia nitaanza kusuka twende kilioni
Umeona eehHaaa! tena unakuta na hiyo minywele mfu yao wameiwekea bili ya vipodozi na mashauzi kibao,
Watu weusi tunashida.
Si nywele zinazotufanya tuwafate,ila ni kwa sababu natural ni wachache sana na wanaume ni wengi..ndio mnabebwa hivyo hivyo...ridhikeni na uumbaji wa Mungu,usimfundishe MunguHahaaaa!!!
Kama mnaichukia kiasi hicho Si muwafate hao natural?
Yaani wewe unataka embe mbivu ila ukifika sokoni unachagua mbichi,kisha unaenda ukilalamika njia nzima!!!
Simba akikosa nyama hula majaniWanaweka kwasababu wanaume wenzio wanavutiwa nayo na hutoa hala ya kununulia, anaambiwa naomba hela ya lesi wigi shs.200,000
Kwa nnndoorooobo wee
Sio sababu..hata wewe ukiacha natural hair utavutia sanaMkuu umechoka kumnunulia wifi yetu mawigi nini?! maana mh
Tena wanasahau hata kuzihudumia nywele zao halisi ikitokea WIGI limewavuka katikati ya hadhara wanakuwa kama waduduKatika kila wanawake 10 utakaokutana nao,7 wamevaa nywele bandia, kwa hiyo ni ngumu kuwajua sura zao halisi. Hawa wanawake wanaovaa hayo majinywele bandia sijui wamekula maharagwe ya wapi?
Nani aliwaambia muweke midawa mpaka nywele zimenyonyoka utadhani mbayuwayu kakoswa na manati.Chukueni mfano kwa Waziri Fenela Mkangara alivyo halisia, big up sana mama.
Kwa hiyo badilikeni, mnatuzingua sana aisee.
Ushauri kwa jamii nzima wenye mashiko sio suala la kufuatilia maisha binafsi mkuu..tofautishawanaume wa sikuhizi sijui wakoje?Sasa kuwatawala wake zenu tu mmeshindwa sasa mnataka kumtawala kila mmoja.Mwanamke wa mwingine akivaa wigs/weaves wewe kinakuhusu nini?Ilimradi akirudi ndani kwake mumewe anaona hizo nywele zake za asilia kwasababu hatolala na hilo wig wewe wa nje inakuhusu nini sasa?
umjue sura yake halisi ili iweje??mume wake marafiki na ndugu zake wakijua sura yake halisi inatosha.Muda umefika watu wengine mkaanza kujali biashara zenu na si za watu.Masharti unayompa mkeo/mpenzi wako usitake yakawa masharti ya wake/wapenzi wa wengine.Aaarg mtu humlishi na wala humvishi kinachokusumbua nini na maisha yake?Mwache mumewe aseme au mpenzi wake.Lakini kwa upande wako ungemsemea mkeo hauna mamlaka ya kuwaaamulia wake au wapenzi wa wengine.,
Kweli kabisa mkuuMAISHA YA WANAWAKE WENGI NI FAKE 100%
HASA AFRICA!
Hatuwaoni..tukiwaona ni burudaniiHao wenye nywele natural hamuwaangalii hata mara mbili, ndio maana!
Tunayahudumia na kuyasifia kwa unafiki ili tupate tunachokitaka na tukipata ndo maana tunawakimbia.....hakuna anayependa kulala ananusa harufu za uvundo wa manywele ya maiti wa IndiaNa hayo mawigi ndio yanayopagawisha hadi mnaacha nyumba zetu na kwenda kuyahudumia. Wambeya wakubwa.... mnajifanya hamyapendi wakati mkiyaona suluali zinawatingishika!!!???? Tena wake zenu natural mnaona haya hata kutokanao out.... hovyoooooo kabisaa
kumbe unazuzukaga na nywele zao?Fashion kwenye nywele...ujinga huo...mbona wazungu wameridhika na nywele zao tangu kale mpk sasa.