Recent content by vidal

  1. V

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson Mwansasu, PhD, ananikumbusha mbali sana

    Mkiweza kumtoa mbowe pale juu ndo mje na story zenu za mslopogazi.
  2. V

    JamiiForums Tanzania Kura ya kupitisha bajeti yapigwa bila kambi ya upinzani kuwepo bungeni, yapita kwa kishindo

    Hoja sio bunge kua live, hoja ni chuki zidi ya naibu speker
  3. V

    JamiiForums Tanzania TANZIA: William Malecela afiwa na mama yake mzazi

    R.I.P
  4. V

    JamiiForums Tanzania Vijue vyeo, Majina na Alama za Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ)

    Mkuu kuingia moja kwa moja TMA mwisho miaka mingapi kwa mtu wa dgree
  5. V

    JamiiForums Tanzania Hatimaye yamekuwa: Nancy Sumari anaolewa na Lucas

    Bora wapashe kiporo
  6. V

    JamiiForums Tanzania G.P.A ya mbunge David Silinde

    Watoto wa udsm mnajipa sifa za kijinga mnamaliza shule kichwani mpo kawaida sana, mmeshindwa kutengeneza tomato, angalieni vyuo kama makelele wametengeneza gari, nyie mnakalia udsm noma noma, ndo maana mnaishia forever living
  7. V

    JamiiForums Tanzania Dk. Tulia asota Dodoma

    Wakigoma na kuchukua posho ndo nitajua kweli wanauchungu na nchi yao, ila kama wanaendelea kuweka dole gumba kwenye karatasi za pesa ni wahuni tu kama wahuni wengine
  8. V

    JamiiForums Tanzania Diamond amkabidhi Makonda madawati 600 kwa ajili ya shule za jijini Dar es Salaam

    Kamshinda yule wa madawati hamsini
  9. V

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo awashangaa Upinzani wanaotetea vihiyo

    wengine wakitaka madaraka ni uchu ile mwenyekiti wenu ni sawa tu,
  10. V

    JamiiForums Tanzania Nani Alikuwa Bora kati ya Zidane na Ronaldinho?

    Gaucho ni fundi kuliko Zidane, jamaa amewika kipindi dunia ilikua na wachezaji weye uwezo mkubwa, sema ngono tu ndo imempoteza kwenye soka
  11. V

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Samatta aifungia timu yake goli

    hvi hazard ana goli ngapi?
  12. V

    JamiiForums Tanzania Fly Over 7 kujengwa jijini Dar

    Anaweza asipone kabsaa, maana dawa uangalia na akili ya mtu
  13. V

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Kenya wasema Yanga Africans inatoka Ghana

    Duh! mara Ghana mara tunis uyo muhandishi ovyo kweli
  14. V

    JamiiForums Tanzania Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

    jamaa unamtetea boss wako wa laki moja kwa siku kwa nguvu zote, huu mchezo hauitaji hasira
  15. V

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza uwanja ndege wa JNIA, Dar. Akuta mashine mbovu...

    Dah! mtu kama wewe unaona ni bora taifa lipoteze nguvu kazi kwa sababu ya madawa ya kulevya, kupitisha pembe za tembo, ni ngumu kupata mpinzani wa kweli hapa africa, sasa naanza kumuelewa lasswel kuhusu wanasiasa wa matumbo yao
Back
Top Bottom