Recent content by victorshalom

  1. V

    JamiiForums Tanzania Mikutano ya Lowassa Ngorongoro, Kilindi, Handeni na Tanga Mjini - Oktoba 21, 2015

    more updates please!
  2. V

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe aomba kugombea tena Ludewa leo

    upendo unalazimishwa nasikia eti ameita bodaboda toka sehemu mbalimbali na pia wakuu wa mashule.
  3. V

    JamiiForums Tanzania Joseph Lusinde: Nilitoka CHADEMA sasa nipo CCM

    livingstone au joseph?
  4. V

    JamiiForums Tanzania Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

    Huu utoto sasa.
  5. V

    JamiiForums Tanzania Nisamehe Mwigulu Nchemba

    Kwa miezi minne iliyopita Mwigulu anaonekana mzalendo wa kweli.
  6. V

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Siri ya Ziara ya Lowassa Nje ya Nchi yabainika

    tuletee kixalendo usiwe biased
  7. V

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

    Itafika siku tutajua tu! nimefurahishwa na kibwagizo "eti naipenda nchi yangu". Mwee!
  8. V

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni kweli Dar Es Salaam ipo Zanzibar?

    Mimi ninachojua Delmitation treaty ya :1886 ilitambua kuwa maeneo ya pwani yote usawa wa maili 10 kuelekea bara kuanzia Tanga mpaka kaskazini ya mto Ruvuma ni ikiwepo DSM ni mali ya sultan wa Zanzibar. Mjerumani aliruhuhusiwa kuwa na whalehouse(godown)pale bandari ya DSM. Mkataba wa Heligoland...
  9. V

    JamiiForums Tanzania TBC Mnakera sana!

    TBC ni chombo cha propaganda cha ccm.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Kipanya kalewa sifa na kukosa uzalendo sasa

    usilaumu, ni njia nzuri ya kuwasilisha ujumbe kuonesha jinsi matotonya yanavyofanywa huko bungeni ilhali kodi zetu zinateketea. Ni uzalendo wa hali ya juu.
  11. V

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Ni hotuba nzuri hajawa so subjective.
  12. V

    JamiiForums Tanzania Ni aibu mbunge kutojua lugha ya kingereza

    Kazi ipo. Colonial mentality. Kuna kipindi walisema Mrema hajui kiingereza matokeo yake akaamua kuhutubia mkutano kwa kiingereza. Kuna kiingereza cha kuandika na kuzungumza, vipi hapo!
  13. V

    JamiiForums Tanzania Wasichana wawili 1st year SUA na lecturer wafumwa wakifanya ufuska

    ok, huo ni utovu wa maadili.
  14. V

    JamiiForums Tanzania Ivona Kamutu wa Star tv

    mbona yupo fresh tu,iwe radio au tv
Back
Top Bottom