Euaggelion03
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 722
- 790
- Thread starter
- #61
Tumsamehe kwa yaliyopita, akiendelea hivi basi muelekeo wake ni mzuri.Tumtie moyo kuwa muelekeo ule wa zamani haulipi, bali huu wa sasa utamfikisha mbali.
Sawa sawa mkuu.Mtu anapofanya vizuri ni vyema tukamsifu na kumtia moyo na sio tu kung'ang'ania kumhukumu kwa historia yake ya nyuma.