akihojiwa EATV HOTMIX jioni hii ameeleza aliamua kutoka chadema na kujiunga na ccm.
amedai ni mpango wa mungu kumwangusha mh malecela.
Afadhali alitoka CDM maana kwa akili ile angekuwa janga nafuu shibuda mzee wa mashairi
akihojiwa EATV HOTMIX jioni hii ameeleza aliamua kutoka chadema na kujiunga na ccm.
amedai ni mpango wa mungu kumwangusha mh malecela.
akihojiwa EATV HOTMIX jioni hii ameeleza aliamua kutoka chadema na kujiunga na ccm.
amedai ni mpango wa mungu kumwangusha mh malecela.
akihojiwa EATV HOTMIX jioni hii ameeleza aliamua kutoka chadema na kujiunga na ccm.
amedai ni mpango wa mungu kumwangusha mh malecela.
Hongera wewe uliyesoma mshukuru mungu yeye kila siku anasema hakusoma kwasababu wazazi wake walifariki akiwa mdogo so kosa lake liko wapi.kaishia la 7 ila mtihani hakufanya so hata cheti hana zaidi ya cheti cha kuzaliwa
Kibajaji Big up, you have a brighter future, lkn like ur stand, Man of truth. Blessings.
Kibajaji Big up, you have a brighter future, lkn like ur stand, Man of truth. Blessings.
Hongera wewe uliyesoma mshukuru mungu yeye kila siku anasema hakusoma kwasababu wazazi wake walifariki akiwa mdogo so kosa lake liko wapi.
acha kutetea ujinga,kama anayo nia ya kujiendeleza anashindwa nini kuanza QT sasa hivi anazo pesa za ubunge
Watanzania ndio mmekuwa wapumbavu kiasi hiki?
livingstone au joseph?
Lusinde kachagua chama sahih kulingana na upeo wa akili yake, well done lusinde, stay greenish untill ur downfall...!!!
kinyesi.Wewe Kiazi si jana tu ulikuja na uzi kumuombea Bashaako asamehewe CHADEMA,leo umetoka ki vingine,ilimradi tu utaje CHADEMA.
Wewe hata siku uki Conceive bado utasema ni CHADEMA wame sababisha
naomba nipingane na wewe,kufiwa na wazazi sawa pole zimfikie ,je baada ya kupata uwezo kwa nini asijiendeleze siku hizi kuna kitu kinaitwa QT angeaza kipindi anaingia mjengoniakaunga unga kwa miaka mitano angekuwa na cheti cha form six,miaka mitatu mbele angekuwa na degree aseme ni kilaza tu,kuna yatima kibao wamesoma na kuna watu kibao wana wazazi shule zimewashinda,sasa na yale matusi ndio tuseme amekosa malezi,alafu alivyokilaza akadeclare mapema kuwa hakusoma so hata akiongea point unajua pumba tu angekaushiaHongera wewe uliyesoma mshukuru mungu yeye kila siku anasema hakusoma kwasababu wazazi wake walifariki akiwa mdogo so kosa lake liko wapi.
kuwa chagadema inahitaji roho ya paka
Kama alikuwa CHADEMA basi Chama kilitua mzigo mkubwa alipohama......