DON'T DRINK AND DRIVE.
Hivi vitu viwili haviendani abadani.
Usije kujidanganya kuwa ukinywa ndio unakuwa makini,ipo siku isiyo na jina kitakukuta kitu.
Huu ulioandika ni ushuzi kama lilivyo jina lako. Toka lini mtekaji aliyefanikiwa kumtia mikononi mateka wake,akamuachie kwa sababu tu ya wabwekaji mitandaoni?
Nafikiri inawezekana kwa sababu kupitia semina, watu hupewa elimu ya ziada japo inaweza isiwe kwa kiwango kikubwa lkn pia njia zipi wahusika wapite ili kuweza kutanua ujuzi wa taaluma zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.