Katika nchi yetu sijui kama tunaye mtu safi, labda awe hajafanya kazi kwenye serikali hii. Hivyo tufunge macho tuchangue. Atakaye pata tule naye sahani moja. Hata ukisema tuchangue dereva aliyefanya serikalini, hizo nyoka alizowahi piga utashangaa.
Ni nini kifanyike ili kuwajengea vijana wa kitanzania tabia ya kufanya kazi za kujitolea. Mfano; kijana amemaliza form four anasubiri matokeo, wakati huu anaweza kutumika, kwani hii ni nguvu kazi kama ikitumika vizuri itakuwa na manufaa kwa taifa, kumbuka hizi ni nguvu zipo zaweza kutumika au...
Nimeshuhudia barabara nyingi zinazojengwa chini ya halmashauri zetu haswa mkoa wa Dar es Salaam hazidumu zaidi ya mwaka kabla hazijaanza kuwa na mashimo, je hili ni tatizo la uwezo wa mainjinia wetu.
Ukipita barabara ya Kinondoni kuelekea makaburini utaona barabara inavyotengenezwa, hicho ni...
Life expectancy at birth: total population: 52.85 years
male: 51.34 years
female: 54.42 years (2011 est.)
Definition: This entry contains the average number of years to be lived by a group of people born in the same year, if mortality at each age remains constant in the future. The entry...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.