somo la hesabu limekua chukizo Kwa wanafunzi wengi dunia nzima, hali hii huwapa ugumu walimu WA somo hili kwakua wanafunzi hulichukia sana. Mwalimu Mmoja huko afrika ya kusini ameamua kutumia njia mbadala kuwafundisha wanafunzi wake somo hili. Mwalimu huyu...
Wanasayansi wachanga wa shule ya Mbeya day wamefanikiwa kugundua kiti chenye magurudumu matatu kinachotumia Umeme kuendeshwa. Kiti hicho kina vitufe upande wa kushoto na kulia vinavyomuwezesha mlemavu kuelekea upande atakao, kiongozi wa kikundi hiki wanacho jiita Young Scientists anasema...
Wakubwa habari zenu at nauliza nahitaji kujiunga na chuo cha afya kozi ya clinical officer Nina ufaulu WA masomo ya PCB Kwa viwango vya CCB na math Nina D msaada wana jf
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.