Jinsi ya kujiunga na vyuo vya afya

victor lenard

Member
May 14, 2017
10
3
Wakubwa habari zenu at nauliza nahitaji kujiunga na chuo cha afya kozi ya clinical officer Nina ufaulu WA masomo ya PCB Kwa viwango vya CCB na math Nina D msaada wana jf
 
Wakubwa habari zenu at nauliza nahitaji kujiunga na chuo cha afya kozi ya clinical officer Nina ufaulu WA masomo ya PCB Kwa viwango vya CCB na math Nina D msaada wana jf

Omba vyuo vya serikali kuna ada nafuu ,tumia CAS ya NACTE
 
Jamani Mwenye DDD katika PCB form 4, D-english, F- math anaweza kusoma technician certificate ya clinical medicine...na chuo gan?
 
nawashauri wadau m download guidebook yenye maelekezo juu ya qualifications za udahili.itasaidia sana.
 
Back
Top Bottom