Recent content by VICTOR BASHINGWA

  1. VICTOR BASHINGWA

    Wizara 5 zaweka ofisi zake katika majengo ya Chuo Kikuu Dodoma, wazazi wajaa hofu kuhusu vijana wao

    Udom hakuna watoto ni watu wazima.Hivyo hofu hiyo tunayo ivumisha inaweza kuwa na tafasili ya kwamba,wasomi wetu hao ni vilaza kiasi cha kushindwa kufanya kilicho wapeleka chuo.Au kiasi cha kupigwa mimba zisizo tarajiwa kwa sababu tu ya watumishi wa wizara kuwepo pale.Nafikiri tunapaswa kuamini...
  2. VICTOR BASHINGWA

    UDOM na UDSM: Kipi ni chuo bora

    Makini anapimwaje?koz niliona Wanafunzi Wasio na sifa UDSM 250 NA UDOM 55 TU.Sasa sijui kipimo cha umakini ni kipi.Na sijui kama una data sahihi za usimamizi wa mitihani na test wa Udom.Labda ungetumwambia ni kwanini Udom inaongoza kwa kura vichwa watu wana Disco kuliko Udsm na hata GPA za...
  3. VICTOR BASHINGWA

    Majina ya walimu taliyotolewa Jana hakuna wenye diploma entry chuo kikuu wametelekezwa

    Walio pita Diploma ni In Service kama ulisoma nao hawakiwa wenzako.Tayari wana TSD number sasa wewe unataka waajiliwe mara mbili?
  4. VICTOR BASHINGWA

    Diamond atoa jibu la utata kufuatia interview ya Ommy Dimpoz

    Wabongo wana roho mbaya ukifanikiwa zaid yao ni majungu matupu,ni ngumu kumuamin Ommy hasa unapo waona kina Rayvan,Rich na Homo.
  5. VICTOR BASHINGWA

    Naomba kujua, kati ya TCU na UDSM nani anatakiwa amuongoze mwenzake?

    Vigezo vya kujiunga na Degree kwa Diploma pale Udsm vipo wazi tena wameweka mashariti magumu na ukiyatimiza ndo TCU wanakupeleka pale.Lkn chuo kinakukataa hata kama umevuka lengo la sifa na vigezo walivyo toa.Na sijui kwanini wasiwe wazi kusema tu kuwa ili uende Udsm lazima uwe form six level.
  6. VICTOR BASHINGWA

    Mkopo kwa 'diploma holders'

    Diploma holders wengi tu wamepata mikopo hadi wa koz za sanaa,so wait sana
  7. VICTOR BASHINGWA

    Mwaka jana mikopo ya kumwaga hadi waliotokea diploma ila mwaka huu kinyume chake..

    Mtoa post bado yupo kwenye ujima kwa baadhi ya hoja lkn nadhan ni kwa sababu ya sumu ya maalifa madogo aliyo nayo
  8. VICTOR BASHINGWA

    Kuna aliyekuwa na GPA chini ya 3.5 kapata chuo?

    wapo wa 3.2 walio pata na wapo wa 4 nakuendelea hawaja pata koz vyuo walivyo omba havija toa majina
  9. VICTOR BASHINGWA

    Nani amemdanganya Mkuu wa Kaya?

    kwenye boing umetoa hesabu ya mafuta ya kwenda tu na hauja toa ya kuludi.Lkn pia je hiyo Songea yaweza kuwa na abilia 450 kwa kila safari?nahisi nawe umesahau ni watu wa aina gani wanapanda ndege tz.
  10. VICTOR BASHINGWA

    Diploma holders

    ukicheza na namba wanazo cheza nazo Nacte na Tcu utakumbuka tar31 mpaka 11.Sasa tar 23 ilipo fungwa system inacheza nà tar 5 october.Tusubili siku hii.
  11. VICTOR BASHINGWA

    Yahusu diploma holder to degree

    Watu bado wanaambiwa kwa email watume Vyeti vya Cert.Inaonekana bado sana.
Back
Top Bottom