mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 2,722
- 3,600
Wakuu habari ya wakati huu... Natumaini wote humu ndani ni wazima na mnaendelea Vizuri na shughuli zenu za hapa na pale japo changamoto haziepukiki...
Twende moja kwa moja kwenye mada kumekuwa na mabishano mengi kuhusu kipi ni chuo bora watu wamekuja humu na Points zao lukuki Kuwa wao ni bora zaidi ya wengine. Binafsi mijadala kama hii kwangu huwa haina mashiko na huwa naipuuza tu.
Maana naamin mtu bora anapatikana au anatoka mahali popote pale kote huko ni pazuri ndio maana pakawa mahali pa kupata taaluma katika fani flani... Binafsi nimebahatika kusoma kote huko yaani UDSM na UDOM kwa vipindi tofauti na kujionea namna mambo yanavyoendeshwa
Hakika UDSM Chuo kimechoka kimajengo hasa upande wa Hostel Hall2 na 5 pale main campus zinatia huruma sana vyoo navyo mungu anafaham tulivyokuwa tunajisaidia huku ukiwa makin kuruka kama mtegua mabumo... Ahsanteh vyoo vya Cafe1 pale kwa kutuokoa... CoET na kule SR vyoo vichafu maji Hakuna... Kwa upande wa Academic UDSM hakika bado wanajitahidi walimu wakutosha na ukilala hasa kule CoNAS mwaka wa kwanza tu wanakula Kichwa...
UDOM hapa Jamaa kimajengo wako vizuri sana hata elimu napo wako Vizuri tu japo kuna changamoto sana ya walimu hasa kule College of health sciences.. Walimu wengi ila sio wote ni masters holder... Kero zake ni maji aseeh Ni changamoto kidogo kutembea umbali mrefu kufata vipindi na Practicals Chuo hakuna vimbwete watu tunarundikana Cafe discussions.
Pia Chuo hakina userious kabisa kwenye Usajili mtu unakaa miezi 3 na Huku tests unafanya Pasipo ID hawajali hata udanganyifu kufanyika katika tests... Zaidi ni Chuo hakina Prospectus za kutosha kitu kinachokufanya kushindwa kuelewa Vizuri kuhusu kozi yako.. Hata online Prospectus Hakuna... Almanac nayo ni hovyo hovyo tu mtandaoni Yaan mpaka inafika mahali unaguess tu Mitihani utaanza lini...
Yote kwa yote Vyote ni vyuo bora sana Japo vinachangamoto zake UDOM mkiboresha kidogo utendaji kazi wenu mkawa kama UDSM hakika itakuwa ni sehemu Nzuri sana kuliko mlivyo Sasa...
Mungu bariki vyuo vyetu Mungu ibariki Tanzania...