Recent content by victor 22

  1. victor 22

    Waajiri (serikali na binafsi) acheni kuvipendelea vyuo vya IFM na UDSM katika ajira

    Me nashaangaa sana wabongo Mlm.Nyerere aliwaokoa watanzania kubaguana ktk maswala ya makabila lkn Leo wasomi wanabaguana ktk maswala ya vyuo wewe uliesoma UDSM unazijua changamoto za UDSM huwezi zijua changamoto za vyuo ambavyo hukupitia wala hukusoma na usitake kulazimisha mfumo wa UDSM uendane...
  2. victor 22

    Boss anajua siku zangu za period

    Dawa akihuliza maswala ya period jifanye kama hujamsikia au usimjibu kaa kimya ukimjibu utakuwa unampa ushirikiano ataendelea kukuhuliza kila siku mpaka ofisi nzimaaaa.... Watajua
  3. victor 22

    Jamani sijui nifanyeje na huyu kaka yangu, hataki niwe na mpenzi

    Mpaka umri huo misingi ya maisha alishapewa akiwa nyumbani,shuleni na vyuoni leo binti anasubir ajira tatizo sisi binadamu huwa cjui tukoje kama tunavyojua kama tunvyoambiwa jamani ukimwi upo unaua vaeni kinga mshirikipo tendo watu oooh nivae kinga nikose radha mwisho wa siku MTU unaambulia...
  4. victor 22

    Jamani sijui nifanyeje na huyu kaka yangu, hataki niwe na mpenzi

    Kaka yako anakupenda sana kwa maana hapendi kuona ukiharibiwa maisha yako na mtu yeyote ktk dunia hii hasa ss wanaume tatizo dada zetu mkisha onjeshwaga penzi na sumu ikawaingia hata angekuwa mama na Baba yako hadi ndugu zako wote wangekuambia kitu ungewaona wabaya tu magonjwa mengi sikuhizi...
  5. victor 22

    Njia mbadala kwa wenye GPA ya 3.4 kushuka chini katika Diploma Level

    Hiyo RPL mbona inalimiti miaka sasa inaonyesha ukiwa na zaidi ya miaka 25 huruhusiwi kufanya huo mtihani
  6. victor 22

    Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    Hiyo story tu ya binamu nyama ya hamu na hainaga ushemeji tunakulaga current issue
  7. victor 22

    Munishauri kwa matokeo haya ya o'level 2008

    Jaribu environmental health science , medical lab na nursing
  8. victor 22

    Am happily married but feeling so lonely inside

    We dada unaonekana ni muelewa usiruhusu hisia mbaya juu ya mumeo zikutaware kichwani mwako na moyoni tafuta issue za kufanya zitakazo Ku keep bizy pia piga mazoezi usikae kae bure na kuanza kumuwazia mwandani wako mabaya maana utakuwa unakaribisha nuksi na vikwazo ktk ndoa yako
  9. victor 22

    Kuanzia leo situmii tena kondomu, nitaenda dry hadi mwisho

    Kawaida ya binadamu sasa umeenda Pima huna unaringa na kujigamba Mwenyezi Mungu kakuepusha na hilo gonjwa hatari kakupa muda wa kubadilika sababu bado anakupenda kijana sasa we endelea kuzini huko dhambini unachokitafuta utakipata muda si mrefu.
  10. victor 22

    Niko njia panda, niende UDSM au DIT?

    Nenda St. Joseph internationional university
  11. victor 22

    Je NACTE wamefunga system yao?

    NACTE wanazingua siyo mchezo
  12. victor 22

    Kwanini MD ya University Of Dar es Salaam imeachwa?

    Kufungiwa ni kwa muda tu jamani ili kuweka mambo sawa kama kuchunguza students na Lecturers waliopo kama wanavigezo vya kuwepo mahali waliopo me sidhani kama eti wamefungiwa milele ndo maana wanasema wamesitisha kudahili kwa muda tu na siyo wamefungiwa kama wangefungiwa kusingekuwa na mwendelezo...
  13. victor 22

    Je naweza kuapply kozi gani za Afya?

    Me nilienda muhas kufuatilia diploma level pale hakuna haja ya kwenda kitu walichosema apply online kupitia NACTE kitu chochote kinachokupa shida pindi ujazapo fomu fungua web yao www.muhas.go.tz majibu yote yapo hapo namba za simu hawatoi
  14. victor 22

    Je naweza kuapply kozi gani za Afya?

    Diploma in Medical laboratory, Nursing and environmental sciences unapata bila matatizo upon vizuri mkuu we apply Muhas kupitia Nacte diploma level
  15. victor 22

    Application za vyuo (Diploma)

    Si walisema tarehe 31/7/2016 ktk vyombo vya habari hivyo tusubiri na Ku apply ni online kupitia NACTE tuwe na subira
Back
Top Bottom