Je NACTE wamefunga system yao?

hiv hawa jamaa wanampango gan? maana npo na vijana twafanya applcation wamekubali hatua ya kwanza , baada ya hapo wanatakiwa watume password aidha katika namba ya simu au e-mail yako, cha kushangaza hamna kitu walichotuma
 
Mimi na apply mara naambia code za mpesa sio sahihi mara zimetumika kumsajilia mtu mwingine
 
jamani mm since saa nne code naambiwa zilishatumika sielewi na tarehe ya kuzaliwa kwenye profile nashindwa kuiedit daah majanga
 
Labda wanafanya selection za shahada ya kwanza.
Of coz walishafanya muda sana......kinachoendelea ni mashauriano baina ya TCU na vyuo husika kutokana na agizo jipya la serikali ya elimu kwa upande wa cut off pts za degree
 
hiv hawa jamaa wanampango gan? maana npo na vijana twafanya applcation wamekubali hatua ya kwanza , baada ya hapo wanatakiwa watume password aidha katika namba ya simu au e-mail yako, cha kushangaza hamna kitu walichotuma
Mkuu jaribu kuangalia kwenye spam box, za email zao maybe watazikuta hzo passwords
 
Back
Top Bottom