Recent content by Vibranium

  1. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Choko wewe EPA hadi TEC wanahusika.. hadi benki yenu Mkombozi ndio iliyohusika kuingiza pesa mna usafi gani.. Richmond ni Lowasa.. kajambe mbele huko
  2. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Shida ni kwamba hii Chuki ya wenzetu wanapandikizwa Madhabauni Na huku kujiona First class citizen pia.. Jamani nchi sio KIGANGO.. ina watu wa dini zote.. tusijipe ukuu
  3. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Mimi nimekutajia ufisadi wa mkapa.. na wewe taja wa kikwete
  4. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

  5. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Suala la Baba kuwa Rais na mtoto kuja kuwa Rais sio geni duniani.. kwani wale akina BUSH ni waislam????
  6. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Umeambiwa juu hapo.. MKAPA kauza nyumba za serikali.. Kauza benki NBC.. Kauza viwanda vya serikali.. Lakini bado wewe unasema viongozi wa kiislam ndio wanafisadi nchi.. sasa tuambie wamefisidi kipi
  7. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Umeambiwa juu hapo.. MKAPA kauza nyumba za serikali.. Kauza benki NBC.. Kauza viwanda vya serikali.. Lakini bado wewe unasema viongozi wa kiislam ndio wanafisadi nchi.. sasa tuambie wamefisadi kipi
  8. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Huna unalojua.. kwa taarifa yako Serikali haikutoa eneo la taasis ya umma kwa waislamu tu.. hata wakristo walipewa huko Dodoma St John university ilikuwa ni taasis ya serikali kama MUM Ila wakapewa waAnglicana
  9. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    We Fala kweli wewe.. sasa nyerere kwa hotuba zake za ku_copy akina Kennedy.. Advantage yake ni kuwa nchi ilikuwa gizani. Na alidhibit hata TV watu wasiwe nazo.. ili akiwasikiliza akina Kennedy huko hata akicopy speech zao aonekane yeye ndio kainvent.. Meko kwa hotuba gani au ile ya...
  10. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Waislam hawana shida wao wanachotaka 50/50 tu kwa sababu nchi hii ni yetu sote Tatizo upande wa pili sasa, wao wanataka hata iwe 90/10.. wao wawe na 90.. na ndio maana mkeka ukitoka wa uteuzi hata rais akibalance kama kateua 10.. kwa mgawanyo wa 5/5 Bado nongwa Wakiona mkeka mzima wapo wao...
  11. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Jamani tusome jamani (in Dotto magari's voice 😆😆).. Kenya na Tanganyika ni tofauti Kenya ni settlers colony.. Wakikuyu waliporwa mashamba na waingereza na ndio kilichochea mau mau.. hapo maslahi kaka ndio maana kenya pia ni kabila moja tu lilikuwa front Wakikuyu
  12. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Nyerere alikaribishwa baadae.. hakuwa kwenye initial stage ya kudai uhuru. Mtu aliyekuja mjini mwaka 1955.. Angewezaje ndani ya kipindi cha miaka mitano alete uhuru... uhuru si kitu chepesi.. Alikuta harakati zimeiva tayari
  13. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Mkuu kenya waislam ni minority tena in a very low percentage.. na wako sana sana maeneo ya pwani... ni ngumu kuwa front line
  14. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Na hata akija mkristo hatodumu atatoka atakuja muislamu.. Ndio nchi inavyokwenda kikubwa tu ikiwa zamu ya mwenzio vumilia tu
  15. Vibranium

    JamiiForums Tanzania Islamization ya CCM-CCM inasilimu

    Totally Irrelevant... Huwezi kufananisha harakati za uhuru za Tanganyika na Nchi zingine kama malawi sijui Ghana.. Kwanza malawi hakuna waislamu.. ni percent ndogo mno
Back
Top Bottom