kwanza kabla ya yote nitangulize salamu kwa member wote...! leo nimeleta changa moto yangu nikiwa na imani ya kupata uvumbuzi kipindi kirefu nilikuwa nikitamani kuanzishaa ya duka la mahitaji ya nyumbani ...nimejichangaa nikapata ml 3 je naweza kufungua ikatosheleza ! asante
achana na ujinga huo mzee...! utapigwa tu na simu hupat me nilitoa elf 120000 kwa cm ya samsung a10 lkn mpk kesho cjapata cm na afande kanambia imeshindikan
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.