Ni kawaida kukiwa na matukio makubwa kama hili ambalo la kesho yaani Muungano Day so watu wengi wanabadili Tsh kwenda dollar in case Muungano ukigoma wawe kwenye safe side. Dah kwa hiyo mtu mmoja ameweza hadi kushake thamani ya Sh.??? Hapa nina uhakika wazee wa Forex wametengeneza pesa ya...
kuna shida kubwa sana ninachokiona ni nchi kutojiandaa kuingia kwenye uchumi wa viwanda ukienda ukienda wizara ya viawanda ndo utasikitika zaidi.Waziri husika ni muongeaji sana vitendo hakuna
pole sana kaka hii imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa nchi yetu nikiwa kama kijana nataka nilipambanie hili kitaifa kuhakikisha kijana anakopesheka kwa masharti ambayo ni rafiki kwake naamini kama nchi tukiamua tunaweza kuwa na programu maalumu ya kumsaidia kijana kuweza kujiajiri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.