mrtanzania
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 219
- 126
To honest nimeipenda hiyo story na implication yake. Hata wadada waliowengi ukimtaka basi hutupima sana na si ajabu akwambie ununue pedi umpelekee kwake ili tu aone upendo wako ukoje, nimeipenda
Twiga ni manyolonyolo kama nchi yetuSymbol ya marekani kama Tanzania na twiga
Symbol ya marekani kama Tanzania na twiga
American Symbol,hebu tupe na sifa za twiga tuone labda Nembo ndo inayotukwamisha....
tumbusi sio aina ya tai?
mtaalamu wetu tukimaliza na Tai naomba utuletee story ya ndege anaeitwa "FUNDI CHUMA" naisubiri kwa hamu maana anaendana na hali halisi tuliopo....
hah hah ha sasa itakuwa vyema tupate historia yake kwa undani halafu tu reflect na Taifa letu au mtu mmoja mmoja😀😀Sifa kuu ya huyu ndege fundi Chuma ambaye mara nyingi anahusishwa na 'Imani' ni kuwa ukikikuta kiota chake ukakibomoa basi jua kabisa Moja ya majanga kama una nyumba basi lazima ibomoke.
Atendae mapenzi ya Bwana huyo ataitwa Heri atavikwa na nguvu mpya ataruka kama Tai×2Lazima tai awe rolemodel wangu kimaisha..! i have to be focus mpaka nifikie palee....![]()
![]()
![]()
![]()
Analiwa?