figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,484
Diwani wa Kata ya Namtumbo Mjini Ndg Halfan Kigwenembe(CCM) ametoa Gari aina ya pick up kwa ajili ya huduma za umma kwa wananchi wa Kata yake.
Pia amechangia Sanda mita 1200 kwa huduma ya mazishi, Madaftari Elfu 20 kwa shule zote za msingi kwenye kata hiyo.
Mhe Kigwenembe ametoa Vyerehani 7 kwa kila shule na Jora kwa ajili ya sare za shule zenye ukubwa wa mita 1500.
Mabati 100 kwa shule mbili na kusomesha vijana 20 Veta.