Recent content by vexozanzhu

  1. V

    JamiiForums Tanzania Wakristo hawana neno msamaha

    Kiukweli kuna haja ya Upande mmoja kujitafakari: 1. Kuna Upande wanajihesabia haki na kwamba ni wacha Mungu lakini matendo sasa(Unafiki na Masengenyo vimewatawala) 2. Kuna wanaonekana Wakorofi ilhali kwenye Utu na Haki wanazingatia. Mwisho wa siku huwa wanasema maneno mengi hula vitendo kati ya...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Rais wa Falme za Kiarabu

    Aisee mwenyewe nilishtuka nikashangaa mbona imekuwa ghafla hivyo kumbe ni Wabongo wanammaliza akiwa hai..........
  3. V

    JamiiForums Tanzania Mume wa Maunda Zoro ni mfano wa Wanaume wa hovyo wa Dar es Salaam

    hivi rafiki wa Maunda (Mamama Koko) ambaye Maunda alienda kuhudhuria mazishi na baadae yeye kupatwa ajali alifariki kwa Ugonjwa au? sababu inavyoonekana pia Maunda alikuwa kwenye panicking mode hata msibani alikuwa na bumbuwazi video moja nilimwona kwenye page ya Joyce kiria Instagram so labda...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

    ni Kweli cha Msingi pia Endelea kuwekeza kwenye vitu ambavyo vinakupa wewe ujasiri upatapo nafasi vifanye kwa ujasiri zaidi lazima unakipaji flani au kitu unachokifanya vizuri kikazanie zaidi wekeza mda kwenye vitu vinavyokupa furaha/utulivu , duniani hakuna mkamilifu wengine wanakucheka...
  5. V

    JamiiForums Tanzania Kweli Humphrey Polepole ni Taasisi tena Taasisi kubwa sana na yenye nguvu kubwa na ina uwezo mkubwa wa kufanya lolote wakati wowote

    watu wabinafsi type hii wanatakiwa wawekwe mbali mara moja wakati yeye anatembelea V eitee YA Mwenezi..... nani alimzonga zonga ?
  6. V

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    NAKAZIA tena ukitaka kujua mtu mwenye kujutia utamfahamu namna anavyoongea mara nyingi kupayuka payuka si mpango hata BIBLIA ILIKATAA Kupayuka payuka. 1)kuna watu hawawezi unafiki,na hawatafuti huruma ya wananchi 2)Kuna watu wamebobea ni wakufunzi wa Unafiki katika kutafuta huruma za wananchi...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    Kuna kutaja jina la Mungu kuficha Uovu yani Mbwa mwitu kuvaa ngozi ya Kondoo na wengi wameshoneana hapa kama si kujazana hapa.
  8. V

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    Shetani haogopeshwi na Salaam, Shetani haogopeshwi na maneno ,
  9. V

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    kuna unafiki wakulitaka bure jina Bwana Mungu..hilo kila mtu anafahamu, si SIASA.
  10. V

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    nani alimuua...............acha kujitafutia dhambi
  11. V

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    Mimi naweza kusema Asalam aleikum au Bwana Yesu asifiwe na nikawa Shetani tuuuuu............
  12. V

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Amuua mjamzito na watoto wawili kwa deni la Tsh. 100,000

    NAUNGA MKONO mama anatakiwa akaze sana kuondooa upumbavu mwingi saana wa nyuma hapo takataka bul shit...........and all that
Back
Top Bottom