Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

Inatokea hiyo mkuu sio kila mtu ata kupenda
ni Kweli cha Msingi pia Endelea kuwekeza kwenye vitu ambavyo vinakupa wewe ujasiri upatapo nafasi vifanye kwa ujasiri zaidi lazima unakipaji flani au kitu unachokifanya vizuri kikazanie zaidi wekeza mda kwenye vitu vinavyokupa furaha/utulivu , duniani hakuna mkamilifu wengine wanakucheka wanamapungufu yao mazito ya tabia na hicho nicho kilema kikuu kinatesa maan hakionekani na sa ingine hakishauriki bora hata wewe una option ya surgery wana wajomba zao shangazi zao wapo hivyo so wakikuna wanajikumbusha..........pia watu wana makasoro mengi so wanataumia udhaifu wa mtu kujisahaulisha stress zao mda mwingine una wacut short na majibu ya Kutafakari unaeza mwambia tu Mtu tena kwa ukaribu na sauti inayosikika vizuri " hongera Mama yako hajazaa mtoto kama mimi " au "Mwombe Mungu akusaidie upate Kama Mimi walau usikose uzao" basi unamwacha anaduwaa duwaa kama anasubiri treni la jioni

Itakusaidia sana kama hutachukulia personal hata ukiwajibu uwajibu pasipo na Uchungu elewa wengi wetu ni wapumbavu na hatujui vitu vingi mno ndo maana tunaishia kucheka cheka ovyo sababu hatuna tunalolijua hatufanyi tafiti na wala hatuchunguzi yambeleni mtu anakucheka wewe wakati kesho hana mbegu wala mayai yakupata hata mtoto mwenye hitilafu tu, lakini anakenua mimeno yake 32 nakucheka.

Tena mwingine ana ndugu/jirani zake labda ni viwete au wana udhaifu flani anakucheka as if kwao ni malaika(na type hii ni wengi wanaoongoza kwa bulying) sijui wanakuwa wanafanya reflection.

Ila wengi wanaopenda kucheka cheka wanakuwa na stess/matatizo yakukataliwa na visa vingine vya malezi ukiweza na wewe from nowhere laugh back at them the same time when they are laughing au Suddenly smile kimya after they laugh waajiulize wao sasa..........
 
Miaka yangu ya kusoma shule ya msingi kama nusu ya darasa walikua na majina ya utani, majina yote yakiwa ni matunda ya bullying. Kuna walioitwa sindano (kwa wembamba), mkaa nk.
Bullying ina madhara kwa watoto, ila kwa mwanaume akifika miaka fulani hajali tena (nadhani miaka 30).
 
ni Kweli cha Msingi pia Endelea kuwekeza kwenye vitu ambavyo vinakupa wewe ujasiri upatapo nafasi vifanye kwa ujasiri zaidi lazima unakipaji flani au kitu unachokifanya vizuri kikazanie zaidi wekeza mda kwenye vitu vinavyokupa furaha/utulivu , duniani hakuna mkamilifu wengine wanakucheka wanamapungufu yao mazito ya tabia na hicho nicho kilema kikuu kinatesa maan hakionekani na sa ingine hakishauriki bora hata wewe una option ya surgery wana wajomba zao shangazi zao wapo hivyo so wakikuna wanajikumbusha..........pia watu wana makasoro mengi so wanataumia udhaifu wa mtu kujisahaulisha stress zao mda mwingine una wacut short na majibu ya Kutafakari unaeza mwambia tu Mtu tena kwa ukaribu na sauti inayosikika vizuri " hongera Mama yako hajazaa mtoto kama mimi " au "Mwombe Mungu akusaidie upate Kama Mimi walau usikose uzao" basi unamwacha anaduwaa duwaa kama anasubiri treni la jioni

Itakusaidia sana kama hutachukulia personal hata ukiwajibu uwajibu pasipo na Uchungu elewa wengi wetu ni wapumbavu na hatujui vitu vingi mno ndo maana tunaishia kucheka cheka ovyo sababu hatuna tunalolijua hatufanyi tafiti na wala hatuchunguzi yambeleni mtu anakucheka wewe wakati kesho hana mbegu wala mayai yakupata hata mtoto mwenye hitilafu tu, lakini anakenua mimeno yake 32 nakucheka.

Tena mwingine ana ndugu/jirani zake labda ni viwete au wana udhaifu flani anakucheka as if kwao ni malaika(na type hii ni wengi wanaoongoza kwa bulying) sijui wanakuwa wanafanya reflection.

Ila wengi wanaopenda kucheka cheka wanakuwa na stess/matatizo yakukataliwa na visa vingine vya malezi ukiweza na wewe from nowhere laugh back at them the same time when they are laughing au Suddenly smile kimya after they laugh waajiulize wao sasa..........
Ubarikiwe sana mkuu
 
Back
Top Bottom