Wakristo hawana neno msamaha

elishaezekiel

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
563
1,461
Wakuu

Nimetumia mfano wa mafather na masister lakini huu ni mfano kuntu na jadidifu.

Hawa watu neno msamaha hawana akilini mwao.

Kila mwaka utasikia wana mwaka wa huruma ya Mungu lakini yeyote aliyewahi kuingia kwenye kumi na nane za hawa watu atashuhudia hapa.

Hadi huwa najiuliza why?
Wamejawa na hisia ovu sana hawa watu .
Hisia za kisasi, wivu, roho mbaya nk

Neno WAKRISTO halikutamkwa popote na Mungu baba ama yesu mwenyewe bali ni jina walilopewa wafuasi wa Kristo na wale wapagani kule antioki, ndiyo mara ya kwanza wafuasi wa kristo kuitwa Wakristo, kule antioki.

Viongozi Wakristo wa uongo wapo chungu mzima.
Hata rushwa makanisani ni nyingi kuliko misikitini.

Wasabato wa STU(South Tanzania Union)viongozi wao wameiba mamilioni hadi leo wameshindwa kuyaamua wenyewe.

Kwa upande mwingine ukiachilia mbali baadhi ya misimamo yao lakini kwenye suala la utu na hofu ya Mungu wenzetu waislamu wapo vizuri sana.

Hata kwenye suala la charity na kusema ukweli wapo vizuri.

Kanuni nyingi za dini/ falsafa ya uislamu zinafanya viongozi wa hii dini wawe watu wa utu sana.

Hata ukiangalia serikali zetu sita tangu wakati wa Julius Nyerere hadi sasa unaweza kujionea ni awamu zipi zilikua zinaongoza kwa mkono wa chuma na zipi watanzania walikua wanapumua na kusema afadhali.

Je Kanuni za kikristo hazifanyi zitoe viongozi wanaomuogopa Mungu?

Hofu ya Allah ni kubwa sana kwa wenzetu waislamu kuliko Hofu ya Mungu kwa Wakristo.

Katika kufanya kwangu kazi na watu wa aina tofauti Waislamu ni trustworthy kuliko Wakristo.

NB
MODS wameedit heading ya uzi huu nilitaka usomeke “ Wakristo wana Roho mbaya kuliko Waislamu “

Disclaimer: Sina dini, I’m a philosopher and believe in A Supernatural Creator and Order.
 
Sidhan kichwa cha bandiko kinaendana na ujumbe...
Any way kama hujui imani baki kama muumini.
Hizi ni Dini tuu zililetwa na Bahari, Angalia zisije kukufanya ukadhalilika tuu kwa biashara za wazungu kututawala.

Tuliza mshono wako kaa kwako pumzika
 
Wakuu

Nimetumia mfano wa mafather na masister lakini huu ni mfano kuntu na jadidifu.

Hawa watu neno msamaha hawana akilini mwao.

Kila mwaka utasikia wana mwaka wa huruma ya Mungu lakini yeyote aliyewahi kuingia kwenye kumi na nane za hawa watu atashuhudia hapa.

Hadi huwa najiuliza why?
Wamejawa na hisia ovu sana hawa watu .
Hisia za kisasi, wivu, roho mbaya nk

Neno WAKRISTO halikutamkwa popote na Mungu baba ama yesu mwenyewe bali ni jina walilopewa wafuasi wa Kristo na wale wapagani kule antioki, ndiyo mara ya kwanza wafuasi wa kristo kuitwa Wakristo, kule antioki.

Viongozi Wakristo wa uongo wapo chungu mzima.
Hata rushwa makanisani ni nyingi kuliko misikitini.

Wasabato wa STU(South Tanzania Union)viongozi wao wameiba mamilioni hadi leo wameshindwa kuyaamua wenyewe.

Kwa upande mwingine ukiachilia mbali baadhi ya misimamo yao lakini kwenye suala la utu na hofu ya Mungu wenzetu waislamu wapo vizuri sana.

Hata kwenye suala la charity na kusema ukweli wapo vizuri.

Kanuni nyingi za dini/ falsafa ya uislamu zinafanya viongozi wa hii dini wawe watu wa utu sana.

Hata ukiangalia serikali zetu sita tangu wakati wa Julius Nyerere hadi sasa unaweza kujionea ni awamu zipi zilikua zinaongoza kwa mkono wa chuma na zipi watanzania walikua wanapumua na kusema afadhali.

Je Kanuni za kikristo hazifanyi zitoe viongozi wanaomuogopa Mungu?

Hofu ya Allah ni kubwa sana kwa wenzetu waislamu kuliko Hofu ya Mungu kwa Wakristo.

Katika kufanya kwangu kazi na watu wa aina tofauti Waislamu ni trustworthy kuliko Wakristo.
Japo mie ni muislamu,hoja za hivi sizipendi
 
Umeongea ukweli mtupu,ukienda mijini wapemba wazanzibar na waarabu wamejazana wanafanya biashara sababu kubwa ikiwa ni uaminifu.....ukienda Saudi Arabia,Oman,Bahrain hata Sudan na Somari yenye vita,....sahau kitu chako hakuna mwenye habari na wewe.
Ila kama kawaida huu Uzi utakuja kuharibiwa na wasiopenda ukweli.
 
Hizi Pumba mkuu umetoa wapi?
 
Hoja za hivi wengi hawapendi hasa wasiopenda ukweli.

Ila sisi wafuasi WA ukweli bila kujali tupo dini gani tunaweza kukubalia mtoa Mada.

Waislam wengi wapo kiroho zaidi ingawaje hawatangazi na wamejikita kimwili, wanahaki utu.

Wakristo wengi wapo kimwili zaidi ingawaje wanajitangaza na kujikita kiroho.

Waislam na hapa nazungumzia wale waliosoma dini sio hawa Waislam jina, ambao baadhi Yao ni marafiki zangu Kwa kweli no waaminifu Sana Kwa Mungu wao na hata Kwa binadamu nikiwemo mimi
 
Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako.

Chukua hio ikusaidie mkuu
 
Umeongea ukweli mtupu,ukienda mijini wapemba wazanzibar na waarabu wamejazana wanafanya biashara sababu kubwa ikiwa ni uaminifu.....ukienda Saudi Arabia,Oman,Bahrain hata Sudan na Somari yenye vita,....sahau kitu chako hakuna mwenye habari na wewe.
Ila kama kawaida huu Uzi utakuja kuharibiwa na wasiopenda ukweli.
Halafu zamia Amerika au Ufaransa au south Afrika ukutane na mabandidu uone jinsi midume huko ilivyo mikatili..Marekani inaongoza kwa kuwa na wababe wengi kitaa kuliko Saudi Arabia..ukweli usemwe...
 
roho nzuri sio kufumbia macho uhuni.

kuna jamaa alifukuzwa seminari kisa kuiba hela za mwenzie.
kule wanaandaa mapadre wewe unadokoa unataka huruma!!!

hao wasilam wenyewe kaulize adhabu ya mwizi ni ipi kisha uje hapa uandike upya.
 
Wakuu

Nimetumia mfano wa mafather na masister lakini huu ni mfano kuntu na jadidifu.

Hawa watu neno msamaha hawana akilini mwao.

Kila mwaka utasikia wana mwaka wa huruma ya Mungu lakini yeyote aliyewahi kuingia kwenye kumi na nane za hawa watu atashuhudia hapa.

Hadi huwa najiuliza why?
Wamejawa na hisia ovu sana hawa watu .
Hisia za kisasi, wivu, roho mbaya nk

Neno WAKRISTO halikutamkwa popote na Mungu baba ama yesu mwenyewe bali ni jina walilopewa wafuasi wa Kristo na wale wapagani kule antioki, ndiyo mara ya kwanza wafuasi wa kristo kuitwa Wakristo, kule antioki.

Viongozi Wakristo wa uongo wapo chungu mzima.
Hata rushwa makanisani ni nyingi kuliko misikitini.

Wasabato wa STU(South Tanzania Union)viongozi wao wameiba mamilioni hadi leo wameshindwa kuyaamua wenyewe.

Kwa upande mwingine ukiachilia mbali baadhi ya misimamo yao lakini kwenye suala la utu na hofu ya Mungu wenzetu waislamu wapo vizuri sana.

Hata kwenye suala la charity na kusema ukweli wapo vizuri.

Kanuni nyingi za dini/ falsafa ya uislamu zinafanya viongozi wa hii dini wawe watu wa utu sana.

Hata ukiangalia serikali zetu sita tangu wakati wa Julius Nyerere hadi sasa unaweza kujionea ni awamu zipi zilikua zinaongoza kwa mkono wa chuma na zipi watanzania walikua wanapumua na kusema afadhali.

Je Kanuni za kikristo hazifanyi zitoe viongozi wanaomuogopa Mungu?

Hofu ya Allah ni kubwa sana kwa wenzetu waislamu kuliko Hofu ya Mungu kwa Wakristo.

Katika kufanya kwangu kazi na watu wa aina tofauti Waislamu ni trustworthy kuliko Wakristo.
Mtu m-Kristo ni mtu anayemfanana Kristo. Ni mtu mwenye tabia za Kristo. Ukiona mtu anasema yeye ni m-Kristo na hamfanani Kristo ujue huyo ni muongo. U-Kristo sio dini. narudia: UKRISTO SIO DINI!!!!!

najua ni wachache sana watakaonielewa hapa.

JESUS IS CHRIST
 
Wakuu

Nimetumia mfano wa mafather na masister lakini huu ni mfano kuntu na jadidifu.

Hawa watu neno msamaha hawana akilini mwao.

Kila mwaka utasikia wana mwaka wa huruma ya Mungu lakini yeyote aliyewahi kuingia kwenye kumi na nane za hawa watu atashuhudia hapa.

Hadi huwa najiuliza why?
Wamejawa na hisia ovu sana hawa watu .
Hisia za kisasi, wivu, roho mbaya nk

Neno WAKRISTO halikutamkwa popote na Mungu baba ama yesu mwenyewe bali ni jina walilopewa wafuasi wa Kristo na wale wapagani kule antioki, ndiyo mara ya kwanza wafuasi wa kristo kuitwa Wakristo, kule antioki.

Viongozi Wakristo wa uongo wapo chungu mzima.
Hata rushwa makanisani ni nyingi kuliko misikitini.

Wasabato wa STU(South Tanzania Union)viongozi wao wameiba mamilioni hadi leo wameshindwa kuyaamua wenyewe.

Kwa upande mwingine ukiachilia mbali baadhi ya misimamo yao lakini kwenye suala la utu na hofu ya Mungu wenzetu waislamu wapo vizuri sana.

Hata kwenye suala la charity na kusema ukweli wapo vizuri.

Kanuni nyingi za dini/ falsafa ya uislamu zinafanya viongozi wa hii dini wawe watu wa utu sana.

Hata ukiangalia serikali zetu sita tangu wakati wa Julius Nyerere hadi sasa unaweza kujionea ni awamu zipi zilikua zinaongoza kwa mkono wa chuma na zipi watanzania walikua wanapumua na kusema afadhali.

Je Kanuni za kikristo hazifanyi zitoe viongozi wanaomuogopa Mungu?

Hofu ya Allah ni kubwa sana kwa wenzetu waislamu kuliko Hofu ya Mungu kwa Wakristo.

Katika kufanya kwangu kazi na watu wa aina tofauti Waislamu ni trustworthy kuliko Wakristo.
Boresha kichwa cha habari. Sema wakristo wa bongo. Huko nigeria waislamu wana roho mbaya shetaani mwenyewe anaogopa
 
Kiukweli kuna haja ya Upande mmoja kujitafakari:
1. Kuna Upande wanajihesabia haki na kwamba ni wacha Mungu lakini matendo sasa(Unafiki na Masengenyo vimewatawala)
2. Kuna wanaonekana Wakorofi ilhali kwenye Utu na Haki wanazingatia.
Mwisho wa siku huwa wanasema maneno mengi hula vitendo kati ya hizi kundi mbili sijui ni kina nani ndo waongeaji zaidi ya wengine

Mwisho wa siku Dini zimekuja na Meli, kuna ambao
1. Wamerithi Ustaarabu wa Mtaliano na Waamerika
2. Kuna ambao wamerithi Ustaarabu wa Mwarabu

Mwisho wa Siku KUPANGA NI KUCHAGUA
 
Katoliki halijawahi kuwa kanisa la Yesu Kristo hivyo usilitumie kama benchmark ya kanisa.

Pili usifananishe uislamu na ukristo kwa kuangalia matendo ya mtu mmoja.

Biblia ndio standard ya ukristo hapa duniani na sio vinginevyo. Fuata neno la Mungu kwenye biblia.

Tatu magaidi wote duniani ni extremists wa dini ya kiislamu na wanamtetea allah.

Nne dini ya kiislamu imekosa uvumilivu kabisa hasa kukitokea tukio linalogusa imani yao.

Tuliona mtoto kakojolea quran halafu wakachoma makanisa. Muhammad kachorwa katuni zikawa fujo dunia nzima.

Mwisho, tuheshimiane.
 
Back
Top Bottom