GPA muda mwengine huwa ina hitajika sana kwa mfano kwa sasa waajiri wengi wanahitaji GPA isiopungua 3.8 na kama utahitaji kuunga masters lazima atleast uwe na 3.5, vinginevyo usome postgraduate as a bridge course, kuhusu kupata ajira au kutokupata sina hakika sana lakini kwa baadhi ya courses...
PCM, PCB, PGM,CBG COMBINATION ZA KIUME na raha upite shule zetu zile tosa boys, mzumbe, illboru, kibaha, tabora boys, bwiru boys, galanos, tanga tech, daa chuo hakileti shiidaa
tuwe na imani nae ni mapema sana hatuwezi tukaanza kutambua kasi yake kama ni ndogo kwa hoja hizo, alichoanza nacho kwanza ni kusimamia nidhamu ya matumizi ya fedha za umma, lakini kusafisha watumishi wazembe ktk ofisi za umma lakini pia kuimarisha mapato ya serikali hususan ukuswanyaji wa kodi...
Awali nawatakia heri ya mwaka mpya 2016, na kwa pamoja tumshukuru M/Mungu kwa kutufikisha salama kwani si kwa ujanja wetu ila kwa mapenzi ya mola wetu kwani wapo waliotamani kushudia mwaka 2016 lakini kwa mapenzi yake M/mungu hawakuweza kutimiza ndoto zao.
Ni kawaida kwa kila mtu pindi...
ni rahisi sana kumuamsha aliyelala lakini ni vigumu sana kumuamsha aliyejisingizia kulala
pengine uungwana wa watu wa pwani na ukarimu ndio unaosumbua kwa mfano kutochukua maamuzi magumu kwa kuweka ubinadamu mbele zaidi
wapo wengi waliofanya vema toka zama za uhuru kwa kupigania uhuru na...
hakuna anaejichanganya u have to know kuwa kuna utofauti wa mtandao wa serikali na tovuti za serikali e government hawahusiki na ku update hayo mawebsite
mtoa mada napenda kukupa ufahamu kidogo juu ya hii depertment ya e-goverment agency
ina majukumu makuu yafuatayo
1.huduma kwa simu
2.mtandao waserikali
3.mfumo wa barua pepe wa serikalini
4.rasilimali shirikishi za tehama
5.kuhifadhi mifumo ya tehama
6.kutoa ushauri na ufundi
7.usajili wa anuani...
habari wana jukwaa wenzangu,
kama tunavyofahamu nyakati tulizonazo ni za ukuuaji mkubwa wa teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na kuna jitihada maeneo mbalimbali zinafanyika kuondoa mifumo ya kawaida (manual system) na kuibadilisha kuwa ya computer system ili kuongeza ufanisi wa mifumo...
rekodi ya zitto inafahamika wazi amekuwa m/kiti wa PAC na mafanikio yake tumeyaona sasa sijajua bwana kubenea atasimama na cv yake ya mwana halisi au vp, kwahivo ni vema akafikiria awe mjumbe tu wa kamati maana hamna namna
Habar wana jukwaa,
Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikijiuliza maswali bila ya kufanikiwa kupata majibu Na majawabu,
Nimekuwa muumini mzuri wa kupitia CV mbalimbali za wanazuoni,viongozi,Na wanataaluma wa fani mbalimbali wa ndani ya nchi.nimekutana Na neno hons haswa ktk ngazi ya bachelor...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.