veteran
Member
- Apr 6, 2015
- 13
- 7
habari wana jukwaa wenzangu,
kama tunavyofahamu nyakati tulizonazo ni za ukuuaji mkubwa wa teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) na kuna jitihada maeneo mbalimbali zinafanyika kuondoa mifumo ya kawaida (manual system) na kuibadilisha kuwa ya computer system ili kuongeza ufanisi wa mifumo hiyo.
kwa maoni yako unadhani ni tatizo gani la kijamii ambalo unadhani kama litakuwa ktk mfumo wa computer litaweza kutatua kero ktk jamii yaani litengenezewe information system.
kuwa free either tatizo liwe ktk elimu, afya, kilimo, biashara n.k
naomba kuwasilisha