veteran
Member
- Apr 6, 2015
- 13
- 7
Awali nawatakia heri ya mwaka mpya 2016, na kwa pamoja tumshukuru M/Mungu kwa kutufikisha salama kwani si kwa ujanja wetu ila kwa mapenzi ya mola wetu kwani wapo waliotamani kushudia mwaka 2016 lakini kwa mapenzi yake M/mungu hawakuweza kutimiza ndoto zao.
Ni kawaida kwa kila mtu pindi tunapouanza mwaka mpya huwa tunakuwa na mipango yetu mbalimbali hususan ya kimaendeleo ktk nyanja mbalimbali kama vile kazi, mahusiano, elimu, ujenzi n.k.
Natumia fursa hii kujumuika nanyi wana jukwaa wenzangu kushare kwa pamoja nn hasa unadhamiria kutimiza au kukamilisha ndani ya mwaka huu wa 2016 kwa mapenzi ya M/Mungu.
Karibuni sana,
Naomba kuwasilisha..